Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 10,887
- 2,772
Hicho ni kipande katika hotuba ya jk jana pale uwanja wa taifa. Nachompendea jk ni pale anaposema nakuibia na anakuibia kisha anaiba kweli. Alituambia majuzi kuwa wizi wa kura utafanyika katika majumlisho, na kweli ikawa. Sasa jana kasema walitumia nguvu ya ziada, na kweli tuliona na kusikia. Wizi wa wazi na nguvu za wazi vilitumika. Juha ni nani? Tuelezwe vipi kuwa hatuna ubavu wa mabadiliko? Hii ni changamoto kwa wanamageuzi
kwani kuna siri tena katika hilo swala la wizi wa kura?
Watanzania sie!Hicho ni kipande katika hotuba ya jk jana pale uwanja wa taifa. Nachompendea jk ni pale anaposema nakuibia na anakuibia kisha anaiba kweli. Alituambia majuzi kuwa wizi wa kura utafanyika katika majumlisho, na kweli ikawa. Sasa jana kasema walitumia nguvu ya ziada, na kweli tuliona na kusikia. Wizi wa wazi na nguvu za wazi vilitumika. Juha ni nani? Tuelezwe vipi kuwa hatuna ubavu wa mabadiliko? Hii ni changamoto kwa wanamageuzi
Watanzania sie!
Wakali saaana kwa mwizi wa kuku, tunamchoma moto!
Watanzania sie!
Wakali saaana kwa mwizi wa kuku, tunamchoma moto!
You made my day hahahaHicho ni kipande katika hotuba ya jk jana pale uwanja wa taifa. Nachompendea jk ni pale anaposema nakuibia na anakuibia kisha anaiba kweli. Alituambia majuzi kuwa wizi wa kura utafanyika katika majumlisho, na kweli ikawa. Sasa jana kasema walitumia nguvu ya ziada, na kweli tuliona na kusikia. Wizi wa wazi na nguvu za wazi vilitumika. Juha ni nani? Tuelezwe vipi kuwa hatuna ubavu wa mabadiliko? Hii ni changamoto kwa wanamageuzi
lakini wezi wastaarabu wanapeta
nimekupata mkuu. labda ustaarabu wao ni katika mavazi na namna wanavyoongea wakiwa mbele ya ummaSahihisho kidogo.
Hakuna mwizi Mstaarabu kwa sababu Wizi haujawahi kuwa na ustaarabu wowote tangia uvumbuliwe. Kuna kundi la wezi walindwao na Polisi, Mahakama na UWT
Ah! We acha tuSASA inamaanisha MPWA huyu nae tumfanyeje vile kumbe?