Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 10,876
- 2,744
Hicho ni kipande katika hotuba ya jk jana pale uwanja wa taifa. Nachompendea jk ni pale anaposema nakuibia na anakuibia kisha anaiba kweli. Alituambia majuzi kuwa wizi wa kura utafanyika katika majumlisho, na kweli ikawa. Sasa jana kasema walitumia nguvu ya ziada, na kweli tuliona na kusikia. Wizi wa wazi na nguvu za wazi vilitumika. Juha ni nani? Tuelezwe vipi kuwa hatuna ubavu wa mabadiliko? Hii ni changamoto kwa wanamageuzi