"... Na pale palipokuwa na upinzani mkali tulitumia nguvu ya ziada..." | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

"... Na pale palipokuwa na upinzani mkali tulitumia nguvu ya ziada..."

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Raia Fulani, Nov 7, 2010.

 1. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #1
  Nov 7, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Hicho ni kipande katika hotuba ya jk jana pale uwanja wa taifa. Nachompendea jk ni pale anaposema nakuibia na anakuibia kisha anaiba kweli. Alituambia majuzi kuwa wizi wa kura utafanyika katika majumlisho, na kweli ikawa. Sasa jana kasema walitumia nguvu ya ziada, na kweli tuliona na kusikia. Wizi wa wazi na nguvu za wazi vilitumika. **** ni nani? Tuelezwe vipi kuwa hatuna ubavu wa mabadiliko? Hii ni changamoto kwa wanamageuzi
   
 2. msafiri.razaro

  msafiri.razaro JF-Expert Member

  #2
  Nov 7, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 616
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Katiba mpya na Tume Huru!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 3. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #3
  Nov 7, 2010
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  kwani kuna siri tena katika hilo swala la wizi wa kura?
   
 4. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #4
  Nov 7, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  hakuna siri ndo maana akatangulia kuelezea mchakato wa wizi utakavyofanyika
   
 5. U

  Uswe JF-Expert Member

  #5
  Nov 7, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  JK mkweli saaaaana :)
   
 6. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #6
  Nov 7, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Ilikuwa ni bora punda afe mzigo ufike.
   
 7. Shaycas

  Shaycas JF-Expert Member

  #7
  Nov 7, 2010
  Joined: Feb 13, 2009
  Messages: 899
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  ilikuwa wapinzani wake katika uchaguzi huo wasusie katika dakika za mwisho kama ambavyo ilikuwa imedhaniwa hapo awali kwamba hakutakuwa na upinzani kabla dr. Slaa hajaibuka ghafla kutokana na shinikizo toka jumuiya za kimataifa.
   
 8. lm317

  lm317 JF-Expert Member

  #8
  Nov 7, 2010
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 452
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Watanzania sie!
  Wakali saaana kwa mwizi wa kuku, tunamchoma moto!
   
 9. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #9
  Nov 7, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  lakini wezi wastaarabu wanapeta
   
 10. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #10
  Nov 7, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,822
  Likes Received: 10,120
  Trophy Points: 280
  SASA inamaanisha MPWA huyu nae tumfanyeje vile kumbe?
   
 11. m

  mjombajona JF-Expert Member

  #11
  Nov 8, 2010
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 262
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Nguvu ya ziada ilitumika Segerea, Kilombero, Shinyanga............endelezeni wana JF.........
   
 12. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #12
  Nov 8, 2010
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  WaTz ni mazoba kweli! Mtu anasema live uwanjani kuwa wametumia nguvu ya ziada...alafu watu wanapuuzia haya maneno! kweli tuna kazi kubwa!!
   
 13. Bhbm

  Bhbm JF-Expert Member

  #13
  Nov 8, 2010
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 716
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  You made my day hahaha
   
 14. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #14
  Nov 8, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Historia inasema tulipata uhuru wetu mezani. So kwa njia ya meza ccm itaondoka madarakani
   
 15. Madela Wa- Madilu

  Madela Wa- Madilu JF-Expert Member

  #15
  Nov 8, 2010
  Joined: Mar 24, 2007
  Messages: 3,074
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Sahihisho kidogo.
  Hakuna mwizi Mstaarabu kwa sababu Wizi haujawahi kuwa na ustaarabu wowote tangia uvumbuliwe. Kuna kundi la wezi walindwao na Polisi, Mahakama na UWT
   
 16. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #16
  Nov 8, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  nimekupata mkuu. labda ustaarabu wao ni katika mavazi na namna wanavyoongea wakiwa mbele ya umma
   
 17. lm317

  lm317 JF-Expert Member

  #17
  Nov 20, 2010
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 452
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ah! We acha tu
  Jamaa ana silaha zote mpaka UPUPU anao!
   
Loading...