Elections 2010 "... Na pale palipokuwa na upinzani mkali tulitumia nguvu ya ziada..."

Raia Fulani

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
10,772
2,544
Hicho ni kipande katika hotuba ya jk jana pale uwanja wa taifa. Nachompendea jk ni pale anaposema nakuibia na anakuibia kisha anaiba kweli. Alituambia majuzi kuwa wizi wa kura utafanyika katika majumlisho, na kweli ikawa. Sasa jana kasema walitumia nguvu ya ziada, na kweli tuliona na kusikia. Wizi wa wazi na nguvu za wazi vilitumika. Juha ni nani? Tuelezwe vipi kuwa hatuna ubavu wa mabadiliko? Hii ni changamoto kwa wanamageuzi
 
kwani kuna siri tena katika hilo swala la wizi wa kura?
Hicho ni kipande katika hotuba ya jk jana pale uwanja wa taifa. Nachompendea jk ni pale anaposema nakuibia na anakuibia kisha anaiba kweli. Alituambia majuzi kuwa wizi wa kura utafanyika katika majumlisho, na kweli ikawa. Sasa jana kasema walitumia nguvu ya ziada, na kweli tuliona na kusikia. Wizi wa wazi na nguvu za wazi vilitumika. Juha ni nani? Tuelezwe vipi kuwa hatuna ubavu wa mabadiliko? Hii ni changamoto kwa wanamageuzi
 
ilikuwa wapinzani wake katika uchaguzi huo wasusie katika dakika za mwisho kama ambavyo ilikuwa imedhaniwa hapo awali kwamba hakutakuwa na upinzani kabla dr. Slaa hajaibuka ghafla kutokana na shinikizo toka jumuiya za kimataifa.
 
Hicho ni kipande katika hotuba ya jk jana pale uwanja wa taifa. Nachompendea jk ni pale anaposema nakuibia na anakuibia kisha anaiba kweli. Alituambia majuzi kuwa wizi wa kura utafanyika katika majumlisho, na kweli ikawa. Sasa jana kasema walitumia nguvu ya ziada, na kweli tuliona na kusikia. Wizi wa wazi na nguvu za wazi vilitumika. Juha ni nani? Tuelezwe vipi kuwa hatuna ubavu wa mabadiliko? Hii ni changamoto kwa wanamageuzi
Watanzania sie!
Wakali saaana kwa mwizi wa kuku, tunamchoma moto!
 
Nguvu ya ziada ilitumika Segerea, Kilombero, Shinyanga............endelezeni wana JF.........
 
WaTz ni mazoba kweli! Mtu anasema live uwanjani kuwa wametumia nguvu ya ziada...alafu watu wanapuuzia haya maneno! kweli tuna kazi kubwa!!
 
Hicho ni kipande katika hotuba ya jk jana pale uwanja wa taifa. Nachompendea jk ni pale anaposema nakuibia na anakuibia kisha anaiba kweli. Alituambia majuzi kuwa wizi wa kura utafanyika katika majumlisho, na kweli ikawa. Sasa jana kasema walitumia nguvu ya ziada, na kweli tuliona na kusikia. Wizi wa wazi na nguvu za wazi vilitumika. Juha ni nani? Tuelezwe vipi kuwa hatuna ubavu wa mabadiliko? Hii ni changamoto kwa wanamageuzi
You made my day hahaha
 
Historia inasema tulipata uhuru wetu mezani. So kwa njia ya meza ccm itaondoka madarakani
 
Sahihisho kidogo.
Hakuna mwizi Mstaarabu kwa sababu Wizi haujawahi kuwa na ustaarabu wowote tangia uvumbuliwe. Kuna kundi la wezi walindwao na Polisi, Mahakama na UWT
nimekupata mkuu. labda ustaarabu wao ni katika mavazi na namna wanavyoongea wakiwa mbele ya umma
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom