Mwanyasi
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 7,954
- 7,113
nimekuja na posho uandae.
Sio kama ile ya bunge la katiba lakini
nimekuja na posho uandae.
mhhhhhhhhhh
huyo ''M'' hajapatikana tu?
labda niwewe maana nawe ni "M"
alishasema sio mimi
Haya ngoja tusubiri!
Jibu analo yeye......!
Hivi ulisema lini waja kwetu?
acting!!!!????!!!!!
may be you have the right answer!
yes i have right answer at the right time keep on waiting teh teh teh
Mimi wala sisubiri kitu! japo leo nasinzia tu na shoe shine yangu.