Sio kama ile ya bunge la katiba lakini
Makirikiri unamkumbuka?
sana tu kafanyaje kwani
Kuna jamaa wa bodaboda kapita hapa kaupaisha ule wimbo.
hahahahahah unapenda kumung'unya maneno weye
mimi natema maneno wala simung'unyi
kama ya bunge la wawakilishi Zanzibar?
mhhhhhhh haya bhana
Tupo na Ex-EL hapa anakusalimia
hahahahahahahah mbona waogop kumention
mwambie nimemiss so much
Kama sija mmesheni umejuaje na kuanza kummiss?
huyu mtoto Excel mdogo sana! inapaswa aniheshimu tu.
my queen, miss neddy... i need explanations... whats going on btn you and this guy ?
my queen, miss neddy... i need explanations... whats going on btn you and this guy ?