nothing going on beibe
calm down tulikuwa tunapeana hali my king
Na wewe tulia chumbani unachungulia nini huku?
Nikirudi huko ndani, mchezo kama jana sawa?
Excel ndo mmiliki wa himaya hii usijifanye humjui
excel beibe njoo nadhani mwanyasi amekusahau huyu
kuwa wewe ndo king of the kings
Kwangu mimi kusahau watoto kama hawa wala sio tatizo kwasababu nawapoteza wakileta usumbufu mtaani!
naunga mkono hoja
kokote kule uliko mpenzi wangu.. malikia wangu!
the one and only... NAKUPENDA SANA!!! NAKUPENDA TENA NA TENA...!!!
GOODMORNING MALIKIA!!
aisee... kijana naona njaa inakuzidi.. you need to be my gardener as to earn your breakfast...