Somehow !!
As lon as you know your hours now are numbered!
eeh? Unasema?? Sa mbona hafunguki ma M tupo wengi ujue!!
Yaani Shem nampendaje huyu mdada!
Sipigiwi !
Nnabugi .
Khaaa....!! Kumbe ww ni mwanaume?saa me nilivyoona neno MJANE, nikajua mwanamke aliyefiwa coz hivyo ndivyo huitwa.Mwanaume anaitwa MGANE....Pole sana hata hivyo kwa safari hiyo ya maisha ulopitia
Mtu akishakuwa team bazazi akitangaza ndoa lazima watokee kama utitiri. Sasa anashikwa na kigugumizi amchague yupi
mamiiiiiiiiiiiii the former mkweo Mwanyasi
nataka anione ili tusungumzie kuhusu mahusiano yenu baby wangu
Zamani maswali ya kimsingi kama hili likiulizwa nilikua namlipa buku 5 muulizaji ! Sijui nianze tena! Kuwazawadia!
mhhhhhhhj haya mum but devil ana nguvu za ajabu take care