Na kabaridi haka.....!!!


donlucchese

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Messages
11,636
Likes
5,671
Points
280
donlucchese

donlucchese

JF-Expert Member
Joined Mar 23, 2011
11,636 5,671 280
Good evening wakuu,
The weather is so lovely this moment here in Dar. And in such kind of weather, am all about my mug of milky coffee mixed with Nilo, my favorite cookies, my laptop watching the movies I downloaded last night in my room. in such lovely weather, my buddy and a chit-chat member too amenicheck yuko na mzinga wake wa. Hennesy at her home place Goig.
So, unafanya nini katika wakti kama huu mwana Chit-Chat?
Good evening.
 
Mr Rocky

Mr Rocky

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2007
Messages
15,192
Likes
592
Points
280
Mr Rocky

Mr Rocky

JF-Expert Member
Joined Oct 10, 2007
15,192 592 280
Nikaribishe basi donlucchese maana mimi nahesabu tuu kenchi hapa sina hata ya soda
 
Last edited by a moderator:
donlucchese

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Messages
11,636
Likes
5,671
Points
280
donlucchese

donlucchese

JF-Expert Member
Joined Mar 23, 2011
11,636 5,671 280
Nikaribishe basi donlucchese maana mimi nahesabu tuu kenchi hapa sina hata ya soda
hahah, mkuu karibu ila ungesema mapema. Lakini i wonder wakati ndio tarehe zenyewe hizi mkuu Mr Rocky
 
Last edited by a moderator:
Mr Rocky

Mr Rocky

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2007
Messages
15,192
Likes
592
Points
280
Mr Rocky

Mr Rocky

JF-Expert Member
Joined Oct 10, 2007
15,192 592 280
Mhhh donlucchese tarehe zimeangukia kwenye majukumu bana ndo maana nahesabu kenchi hapa
 
Last edited by a moderator:
kabanga

kabanga

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Messages
31,849
Likes
5,211
Points
280
kabanga

kabanga

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2011
31,849 5,211 280
aisee, mimi nimeanza kula fenesi nikaja bisi na malizia na mua ....
 
Mamndenyi

Mamndenyi

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Messages
29,405
Likes
7,470
Points
280
Mamndenyi

Mamndenyi

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2011
29,405 7,470 280
That time nilikuwa kwenye msiba jirani yangu kayange ametwaliwa japo kwenye mazingira tatanishi.
 
nitonye

nitonye

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2011
Messages
7,181
Likes
547
Points
280
nitonye

nitonye

JF-Expert Member
Joined Dec 18, 2011
7,181 547 280
That time nilikuwa kwenye msiba jirani yangu kayange ametwaliwa japo kwenye mazingira tatanishi.
Nendeni kwa mzee wa misukule pale kawe anaweza kufanya makeke
 
Mamndenyi

Mamndenyi

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Messages
29,405
Likes
7,470
Points
280
Mamndenyi

Mamndenyi

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2011
29,405 7,470 280
Sasa hiyo imani umeitoa wapi ya kuwa ametwaliwa kwa njia tatanishi
Alikuwa na mke wa mtu japo na yeye ni mume wa mtu kwenye kuvunja amri akapitiliza.
 
nitonye

nitonye

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2011
Messages
7,181
Likes
547
Points
280
nitonye

nitonye

JF-Expert Member
Joined Dec 18, 2011
7,181 547 280
Alikuwa na mke wa mtu japo na yeye ni mume wa mtu kwenye kuvunja amri akapitiliza.
Ha ha ha utamu utamu jamani utamu uliwazidia wakajiona wako mbingu ya saba na wakatwaliwa mazima
 

Forum statistics

Threads 1,252,246
Members 482,057
Posts 29,801,536