Mzunguko ndani ya nyumba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mzunguko ndani ya nyumba

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by msani, Aug 22, 2011.

 1. msani

  msani JF-Expert Member

  #1
  Aug 22, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 1,430
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  wana jf,haka kamchezo sio kazuri
  leo nimepewa kisa na mshikaji wangu hapa nilipopanga

  mshikaji kamtokea demu hapa jirani kitambo kabla mie sijahamia na akafanikiwa kuwa na huyo demu ila baadaye mshikaji akaenda chuo,wakti nahamia hapa huyo demu alitokewa na mshikaji mwingine ambaye naye alikuwa amehamia kitambo kidogo tu,mi niliujua huu mchongo mpya maana hapo awali mi sikuwepo,huyu mshikaji mpangaji akatuambia masela kuwa kapata mtoto wa geti maeneo ya hapo karibu,siku moja wakakorofishana na huyo demu na wakti huo kuna msela wa huyo mshikaji mpangaji alikuwa ametoka mkoa kaja kwenye interview,akambembeleza huyo demu hapo huku jamaa akiwa ameondoka kwenda misele na akimwambia demu wake huyo kuwa asimkute nyumbani,mshikaji toka mkoa kabembeleza hatimaye demu kajiachia jamaa akala mzigo.
  mshikaji wa kwanza ambaye yeye ni mwenyeji karudi toka chuo na kuendeleza makamuzi kama kawa,sasa leo hii jioni 19/08,braza mtu karudi toka kazini ila baadaye akaonekana kama ni mtu aliyesahau kitu kwenye gari yake,braza mtu akamuita mshikaji wa chuo na kumagiza kuchuzukua miwani na cheni na avipeleke kwahuyo demu kuwa alivisahau na akaambiwa avifiche ili shemeji yake asivione,ndipo mshikaji akagundua kuwa braza yake naye kapita kwa huyo demu ila ikaonekana baadae kuwa braza alimpata kwa bahati mbaya tu baada ya braza kumsimulia mshikaji ambaye ni mdogo wake,"eti kajiingiza mwenyewe mi nikala",braza hakujua kuwa dogo anakula,ndipo braza akamuambia hata hivyo huyu demu sina mpango naye kwani anachukuliwa na jamaa wa nyumba ya pili na akamtaja jina la huyo jamaa,leo hii usiku mshikaji mpangaji alikuwa na mshikaji wa chuo kwenye gari binafsi wakitoka kwenda matembezi ndipo walipo kutana na huyo demu kumbe alikuwa anamsubri mshikaji mpangaji wakiwa na appointment,ikabidi waende wote
  hiki ndcho kisa kilichotokea huku kwetu katika uwanja wa mapenzi ya mzunguko
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Aug 22, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  ukiishi mbagala kiburugwa....hamkosi visa vya hapa na pale...
   
 3. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #3
  Aug 22, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Duh! huu kweli mzunguko maana kama sijaambulia kitu hivi.
   
 4. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #4
  Aug 22, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  hivi suppose huyo msichana anaanza kuugua na kufa....

  umewahi jiuliza utakuja ku post nini hapa?ikitokea hivyo??????
   
 5. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #5
  Aug 22, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hivi nani alikupa kazi ya kumfatilia huyu msichana na kujua kalala na nani ? mbona hujatuambia kuwa WEWE alikukataa pamoja na kuwaonjesha wote hao? au ni kwa sababu unafatilia maisha ya watu saaana a.k.a MMBEA akaona utamtoa hata kwenye magazeti ya Shigongo ????
   
 6. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #6
  Aug 22, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  mhhh nimeielewa story yako kwa shida sana, ina maana hapo mtaani kwenu kuna msichana mmoja tu?na wewe umeruka kisehemu chako?
   
 7. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #7
  Aug 22, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Umeona eeeh? Hiyo stori mzunguko kweli kweli
   
 8. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #8
  Aug 22, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  itabidi wazikwe wote kwasababu huyu hana kazi hapa duniani zaidi ya kumfatilia huyu binti,poor him lol!

  Huyu KAKATALIWA ndio maana kaileta hapa,angekubaliwa wala asingelalamika hivi hahaha!
   
 9. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #9
  Aug 22, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,227
  Trophy Points: 280
  aaaaah acha niende zangu, kuisoma tu kichwa kimezunguka!!
   
 10. Mhache

  Mhache JF-Expert Member

  #10
  Aug 22, 2011
  Joined: Jun 20, 2008
  Messages: 346
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Msani, unaweza kuifupisha stori yako. Kwani kwangu imekuwa ngumu kuielewa, na nashindwa kutoa msaada.
   
 11. E

  Emeka Onono Senior Member

  #11
  Aug 22, 2011
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 114
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />
  hajasema kama anataka msaada,ni taarifa tu ametupa,we soma kisha chapa lapa
   
 12. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #12
  Aug 22, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Haki mi sikuelewa chochote. Ila baada ya kusoma comments ndio nimelewa kwa mbaliiiiiii.... Tuombe Mungu msichana awe na healthty sexual hygiene coz vingine breaza yake na yule wa chuo, yule mpangaji na dugu yake fulani, bwana wake wa zamani na yule mpya na hao wengine hata sikuelewa wametoka wapi wote ni marehem in 2020.
   
 13. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #13
  Aug 22, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,315
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  no love.
   
 14. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #14
  Aug 22, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,345
  Likes Received: 418,711
  Trophy Points: 280
  yaliyomsibu yeye mwenyewe ndiyo yananoga haya ya kusimuliwa na kuhisi yana mushkeli mkubwa wa hasa kujua kama ni kweli au ni njozi na matarajio ya mtu tu.........
   
 15. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #15
  Aug 22, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,509
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Kwa vile umesema ni demu tu basi hakuna shaka mzunguko uendeleee na wewe mega nafasi yako.....
   
 16. wapalepale

  wapalepale JF-Expert Member

  #16
  Aug 22, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 259
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 33
  NADHANI KAMA ANGEWAPA HERUFI (LETS SAY X, Y ,Z R etc )
  HIVI HAO WAHUSIKA NDO ANGESOMEKA VIZURI!! MAANA MARA MSHIKAJI MMOJA MARA MSHIKAJI WA CHUO... DUUUUUUUUUUUUUH WAMBEA WANAKAZI
   
 17. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #17
  Aug 22, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Kukuelewa imebidi nisome na vidole pia.... Haya ndo maisha halisi tatizo huwa hatujuani tu!!
   
 18. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #18
  Aug 22, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 739
  Trophy Points: 280
  Mambo ya uswazi yana tabu kweli.
   
 19. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #19
  Aug 22, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  thanks for sharing! face it guys, ni mbi za vijiti hizi! chuo wakaka walikua wanaambiana 'mwana,pokea kijiti,mi nshachoka'! na ujinga wa mwisho ni kusahau dawa ya penzi! wish u lucky guys,tusisahau kurekebisha na muumba just incase tutakuta hukumbu huko juu!
   
 20. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #20
  Aug 22, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,091
  Likes Received: 6,558
  Trophy Points: 280
  kufanya ufanye wewe unajifanya mshikaji, acheni uasherati lwenu.
   
Loading...