Mzungu ni nani?

Mzungu ni nani?

Kama Wazungu ni watu wa asili ya Bara la ulaya,je blacks wenye asili ya Bara la ulaya nao ni Wazungu? Hilo ndio swali la mtoa mada.
 
heshima kwenu wakuu...rejea mada tajwa hapo juu kwa ninavyojua mimi ,,,mzungu ni mtu yeyote mweupe ambae asili yake sio afrika....katibuni wadau je mzungu ni nani???
 
Mzungu ni Kiswahili ikimaanisha watu weupe toka Europe..... Caucasian race "white".

Pia kuna Mongalian race "yellow"

Malayan race "brown"

Ethiopian race "black"

American race "red"

Unajua ukichunguza vizuri utaona katika hizo race kunatofauti kimuonekano. Haya namna ya fuvu la kichwa, taya, upana wa mabega.....na rangi ya ngozi, rangi ya macho.....nk.
 
Paka akiwa mnene ni paka wa kizungu,paka akikondeana ni paka wa kiswahili,

Kuku anayewekwa mahali safi,analindwa,ni kuku wa kizungu ila wale wanaorandaranda wa kienyeji

Mtu akiwa anajali muda msafi ,ana. pesa -yule jamaa mzungu sana hana longolongo kabisa hanaga uswahili kabisa

Lakini mtu muongo,hajali muda ni mswahili-ah yule jamaa mswahili sana maneno mengi,tapeli nk

Mbwa akiwa na mkia mnene,manyoya ni mbwa wa kizungu ila vimbau mbau,wabaya wa kiswahili

Kwenye mabishano au mtu akisifiwa utasikia mimi sini mzungu ,mie siyo mswahili(tapeli tapeli,muongo muongo,hajali muda) kama wewe
 
Kwenye mabishano au mtu akisifiwa utasikia mimi sini mzungu
hahaha we jamaa mzungu sana
 
Na je mtu yeyote mweusi ambaye asili yake sio Africa au Mtu yeyote mweupe ambaye asili yake ni Africa tuwaite nano?
 
Paka akiwa mnene ni paka wa kizungu,paka akikondeana ni paka wa kiswahili,

Kuku anayewekwa mahali safi,analindwa,ni kuku wa kizungu ila wale wanaorandaranda wa kienyeji

Mtu akiwa anajali muda msafi ,ana. pesa -yule jamaa mzungu sana hana longolongo kabisa hanaga uswahili kabisa

Lakini mtu muongo,hajali muda ni mswahili-ah yule jamaa mswahili sana maneno mengi,tapeli nk

Mbwa akiwa na mkia mnene,manyoya ni mbwa wa kizungu ila vimbau mbau,wabaya wa kiswahili

Kwenye mabishano au mtu akisifiwa utasikia mimi sini mzungu ,mie siyo mswahili(tapeli tapeli,muongo muongo,hajali muda) kama wewe
Hahaha......
 
Mzungu tafsiri nyingi.

Maana hata muuza Unga anaitwa, MZUNGU
 
"Wauza Unga sikilizeni maneno haya.

Hatari kuuza Unga, Hmmmm.

Wenyewe wanaita Mzigo.

Mzigo utakutokeeni pabaya, utakutokeeni puani Mzigo"
 
Hapo kuna Tofauti kati ya Mzungu na Zungu muuza ngada anaitwa Zungu na mzungu ni mwenye asili ya ulaya kwa ninavyojua mm
 
Back
Top Bottom