mzee kipinga
Senior Member
- Sep 30, 2014
- 141
- 18
Wazungu ni watu weupe wanaotokea bara la ulaya,au.wale alisi kabisa ambao walikuwa wakoloni
kwa maoni yangu duniani hakuna watu weupe,mi nadhan mzungu ni mtu yeyote mweupe kwa asili lakn asiye na asili ya africa.....mtazamo tu!
Raia asilia wa bara la ulaya.
Kwa mapokeo kutoka kwa mababu zetu, mzungu ni mzawa wa bara Ulaya pekee + Urusi na baadhi ya nchi washirika wa zamani wa Urusi kama vile Ukraine na Georgia ambazo ziko bara Asia kijiografia.
Baadhi ya raia wa bara Asia wamegawanywa kama waarabu, wahindi, na jamii za kichina, kijapan kikorea, Vietnam na hata waturuki.
wamarekan weupe wao sio wazungu mkuu
Nasikia hawa wanyonyaji miaka ya mwanzoni kuanza kuonekana africa walikuwa kama wanafanya utafiti mara waende huku watokee kule,na misafara yao na masanduku,kwaio ile tabia ya wao kuonekana hawana uelekeo maalumu na wazawa at a time wakawa hawana jina la kuwaita wakaamua wawaite WAZUNGUKAJI,baadae as the time goes by,wakalifupisha jina na kuwaita WAZUNGU,not so sure coz sikuwepo wakuu..only heard!

Jamani kumekuwa na matumizi tofauti ya hili neno wengine hutumia pasipo kujua wakimwona mtu mweupe tuu basi ni mzungu,je hata mchina ni mzungu muhind je? au wazungu ni watu wa ulaya peke yake ? na je wale black waliozaliwa hko nao ni wazungu?
tujadili hoja jaman