Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,285
- 108,303
Mzungu ni mtu mweupe kutoka bara la ulaya na amerika ya kaskazini!
Je wale watu weupe wa Afrika Kusini au Amerika ya Kusini wanaitwaje?
Mzungu ni mtu mweupe kutoka bara la ulaya na amerika ya kaskazini!
Ninavyoelewa mimi ni kuwa ''mzungu'' kiingereza chake ni Caucasian. Hawa ni wa watu wenye ngozi nyeupe wanaoishi Ulaya na USA.
Hata wahindi, wachina ni wazungu maana ni weupe na wana nywele ndefu
Indians are referred as brown, and Chinese wao ni yellow...ain't no whitish in 'em both
Ndiyo, hili nalo swali zuri, pia warusi nao wapo ktk kundi gani . Wajuvi mtujuze jamani
Pia ni wazungu inshort kuna aina nne ya race ambazo ni (white) kutoka bara la ulaya kisha kuna (yellowish) watu kutoka asia jamii ya wamongolia,Japan,indians nk pia kuna (redish) hawa asili yao ni america na jamii ya wamelenesia kutoka papua new guinea,wamexico nk mwisho kuna (black) jamii ya waafrica na aborigines walioko Australia kwa hyo with wote ni aidha wamechanganya au wametokana na race hizi nne-black,yellowish, redish na white
Kwanini sisi weusi tupewe, na nywele laini tunyimwe jamaniii najifyonzaa kabisa
Wazungu wa Afika kusini wamehamia tu kule, wale wanatoka ulaya (Uholanzi). Wale Waamerika kusini ingawa baadhi ni weupe lakini hawapo ktk kundi la wazungu (ni kama wana asili ya kihindi fulani). Warusi ni wazungu kwa sababu Urusi pia namna fulani pia ujumuishwa ktk nchi za ulaya
Hahahahaaaa, we Dinazarde usinivunje mbavu mimi hapa ukizingatia madaktari wamegoma MOI nani atanitibu mbavu zangu. Kwa ufupi ni kwamba Mungu katupendelea sana dadaangu kwani hii ngozi nyeusi kwanza tupo wachache ukilinganisha na wenzetu. Pili ngozi yetu ni ghali kwani si rahisi mtu mweupe kufoji awe mweusi isipokuwa mtu mweusi anaweza kufoji ngozi akaonekana mweupe. Hivyo itukuze rangi ya ngozi yako na ithamini sana
Mkuu bado kuna debate kubwa sana ya je ni nani haswa ni caucasians....hivyo bado huwezi sema moja kwa moja asili ya watu hao ni USA au Ulaya...
Pia ikumbukwe kuwa watu wa asili wa USA sio hao kina George Bush bali ni Wahindi wekundu...
Yaan tatizo nywele mbona hatuna nywele ndefu weusi sio mbaya nywele tu huoni tunavyohangaika na mawigi hhhaaa