Mzungu na Limbwata

Mzungu na Limbwata

Heee msungu kadata na penzi la mbongo....

Sasa ndo awe mpole hana haja na ushirikina mbona
 
Nimekuelewa ndio nikajibu hivyo ila kifafanuzi. Mapenz hayachagui hali kwa wale wanaopenda bila kujali ni tajiri au maskin

Pia ukiwa kwenye nchi ya watu unaweza jikuta unaoa au kuolewa na maskini ili upate favour flan labda makaratasi ya uraia,ajira na mengineyo.

Kwa huku kwetu Tz,maskin wa kizungu wanapapatikiwa kisa rangi zao mtu yupo radhi aache mwafika tajiri ili mradi tu apate watoto chotara.

mmmmmh wewe sasa unamsema yule dada yuuuule wa magazeti insta
 
Mke wa mzungu ninaemkubali ni Teddy Kalonga, yuko poa na mume wake na watoto wake wala hana mashindano ya Kwamtogole.
 
Huyo huyo,green card yake inakaribia kumponyoka ndio maana kachanganyikiwa ati yupo kwenye diet(kuvutia wazungu wanaopenda wembamba) jaman kwa unene gan alionao.

we yule ashadata na maisha... yaani sasa hv yuko kwenye kampeni ya political asylum ndo anachokitafuta... kabizika kuonyesha viwanja na nyumba za kushare za urithi... anadanga kinoma ... lazma atakua escort service anafanya
 
Hadi huruma,hana kiwanja cha urithi alishauza ili kupunguza madeni ya baba kenzo. Kwanza ni mtoto wa nje ndio maana kila akimtukana mtu lazima aseme ni mtoto wa house girl au wa nje mara ana ukimwi,vyote vinamhusu yeye.
Political asylum haipati kirahisi bali anajiongezea matatizo ya kupokonywa wale watoto wa kiume.
we yule ashadata na maisha... yaani sasa hv yuko kwenye kampeni ya political asylum ndo anachokitafuta... kabizika kuonyesha viwanja na nyumba za kushare za urithi... anadanga kinoma ... lazma atakua escort service anafanya
 
Habari za leo wapendwa,

Leo shost alikuja ofisini leo kunitakia kheri ya mwaka mpya, huyu ni shost wa nursery school na tulianza primary pamoja kabla ya wazazi wake kuhamia mkoani bai tulipoteana, tulikutana ukubwani tena kwenye seminar elekezi, tangu hapo tuna mawasiliano mazuri sana. Nilishangaa shost amenitupa kumbe ananieleza walikuwa na ugeni nyumbani.

Shost kwao yeye ndiye mtoto wa kike pekee tena ni wa mwisho, ana makakak watatu. Kaka mkubwa aliondoka nyumbani mwaka 2004 kwenda ughaibuni kwa kuendelea na masomo. Kufika kule bwana kaka mkubwa alipata girlfriend wa kizungu, mapenzi yalinoga wifi aliinua mimba.

Kaka aliona ni busara kutangaza ndoa, basi alioa na familia ilibahatika kupata mtoto wa kiume mwenye afya njema. Kasheshe ilikuja sasa wifi wivu ulipitiliza, kaka alipewa dakika 30 awe amefika nyumbani baada ya masomo au kazi. Pesa yote inayopatika wifi aliipangia budge ya ndani.

Kaka akiwa ndiye mtoto mkubwa alishindwa hata kupeleka laki moja ya msaada nyumbani. Siku baba alipougua na kulazwa hospitali, kaka aliwashauri ndugu nyumbani wampeleke kaka hospitali nzuri atagharamia matibabu, wewe we wee, wifi aliposikia hayo alisema familia yako ni mimi wewe na mtoto. Kaka ilibidi akope pesa kwa marafiki na kulipa deni la hospitali, ila baada ya hapo alimwambia wifi "it's over between us".

Tangia 2010 kaka amerudi hajamuona mtoto wake, alishaweka kichwani kuwa mtoto atamtafuta akiwa mkubwa. Bidada kumbe amepata mashost wa kibongo huko aliko, anafuatilia habari za kaka kila kukicha. Tangia September alishapiga simu akisema anamleta mtoto aje Christmas na New Year bongo.

Mgeni amefika na mwanae, amefikia kwa wazazi na analala chumba kimoja na wifi yake. Kasheshe shost ananiambia ameamka anatandika kitanda cha wifi wakati mwenyewe yuko bafuni, si akute picha ya kaka yake imegandishwa hirizi kwa nyuma wifi anaweka chini ya mto akilala.

Shost ndiyo ananiambia leo hii, nimeshindwa kucheka, nilibaki kumuonea huruma mwanamke mwenzangu penzi linavyomtesa mpaka kujua ushirikina.
Haaah haaaah...lol!!! Chezea dushe lenye joto wewe!! Back to the point, wanawake wa kizungu wako hivyo....hawaelewi nini maana ya extend family, na wanajua kukaba hatari mno, kuna jirani yangu mmoja, yeye ni mwalimu ktk shule fulani hivi ya primary (private) alimuoa dada wa kizungu baada ya kukutana hapo kazini bidada alikuja kama volunteer akanasa kwa huyo kaka. Sasa maisha yamekua balaa mzungu hataki mtu yeyote kukaa ktk nyumba yao...yaani waishi yeye, mumewe na watoto wao wawili, hataki habari ya mara hodi kaka..hali ya mama si nzuri tunafanyaje, wifi hodi umepika nini, mume akitoka kazini anatakiwa straight home, no habari za kupitia ktk vijiwe kujichanganya na washkaji! sasa hapo kwa mwanaume wa kibongo nadhani mnaweza kupata picha anakua ktk hali gani! haaaah haaaah! Ndio wakome kushadadia wazungu na huku sisi dada zao tuko bomba na tunawatii kama maboya, hata wakihamishia ukoo mzima ndani kwetu tupo tu, tunafanya kazi ya kuongeza size ya sufuria la ugali tu! Logging out!
 
sawa tumesikia
 
Hahahahaha......nadhani watakua wamekuelewa.
 
Katika vitu vilinishindaga ni kuroga aiseee siamini hata kidogo hayo mambo japo wenyewe washirikina wanadai wanafanikiwa.
Subiri urogwe kwanza...utautafuta mlango wa sangoma ulipo bila kushauriwa na mtu
 
Haaah haaaah...lol!!! Chezea dushe lenye joto wewe!! Back to the point, wanawake wa kizungu wako hivyo....hawaelewi nini maana ya extend family, na wanajua kukaba hatari mno, kuna jirani yangu mmoja, yeye ni mwalimu ktk shule fulani hivi ya primary (private) alimuoa dada wa kizungu baada ya kukutana hapo kazini bidada alikuja kama volunteer akanasa kwa huyo kaka. Sasa maisha yamekua balaa mzungu hataki mtu yeyote kukaa ktk nyumba yao...yaani waishi yeye, mumewe na watoto wao wawili, hataki habari ya mara hodi kaka..hali ya mama si nzuri tunafanyaje, wifi hodi umepika nini, mume akitoka kazini anatakiwa straight home, no habari za kupitia ktk vijiwe kujichanganya na washkaji! sasa hapo kwa mwanaume wa kibongo nadhani mnaweza kupata picha anakua ktk hali gani! haaaah haaaah! Ndio wakome kushadadia wazungu na huku sisi dada zao tuko bomba na tunawatii kama maboya, hata wakihamishia ukoo mzima ndani kwetu tupo tu, tunafanya kazi ya kuongeza size ya sufuria la ugali tu! Logging out!
Mkuu una point tena wakioa wazungu kaka zetu na kupika wanapika jikoni, wasafisha nyumba na nguo za mawifi wanafua. Kwetu sisi hawaelewi kabisa fursa sawa wao ni vidume wa kuwekewa maji wanawe mikono.
 
Wacha wakome na uzuzu wao kuzuzukia ngozi nyeupe wakati nasikia hata joto hawanaga!
 
Chakula chao kikubwa ni bakuli kubwa la salad, wewe mwanaume anatoka kwenye msuba anakaribishwa na bakuli la majani kama sungura hehehhe hehe
 
Huyu wifi penzi la kaka alikuwa nalo mkononi akalipiga teke sasa analitafuta kwenye hirizi, yaani ninapata picha alipolipa pesa ya kutengenezewa hirizi.

Binadam bana, pesa ya kununulia hirizi anayo ila pesa ya kumlipia mgonjwa hospitali hakuna? Angelipa pesa ya hospitali sa hizi angekua yuko na mumewe. Ubinafsi wake umemponza
 
Mkuu ninapiga picha, mzungu amekalia mkeka akiahidiwa na mganga "jamaa anarudi tu". Labda kuna aliempa ushuhuda kuwa amefanikiwa.
 
Habari za leo wapendwa,

Leo shost alikuja ofisini leo kunitakia kheri ya mwaka mpya, huyu ni shost wa nursery school na tulianza primary pamoja kabla ya wazazi wake kuhamia mkoani bai tulipoteana, tulikutana ukubwani tena kwenye seminar elekezi, tangu hapo tuna mawasiliano mazuri sana. Nilishangaa shost amenitupa kumbe ananieleza walikuwa na ugeni nyumbani.

Shost kwao yeye ndiye mtoto wa kike pekee tena ni wa mwisho, ana makakak watatu. Kaka mkubwa aliondoka nyumbani mwaka 2004 kwenda ughaibuni kwa kuendelea na masomo. Kufika kule bwana kaka mkubwa alipata girlfriend wa kizungu, mapenzi yalinoga wifi aliinua mimba.

Kaka aliona ni busara kutangaza ndoa, basi alioa na familia ilibahatika kupata mtoto wa kiume mwenye afya njema. Kasheshe ilikuja sasa wifi wivu ulipitiliza, kaka alipewa dakika 30 awe amefika nyumbani baada ya masomo au kazi. Pesa yote inayopatika wifi aliipangia budge ya ndani.

Kaka akiwa ndiye mtoto mkubwa alishindwa hata kupeleka laki moja ya msaada nyumbani. Siku baba alipougua na kulazwa hospitali, kaka aliwashauri ndugu nyumbani wampeleke kaka hospitali nzuri atagharamia matibabu, wewe we wee, wifi aliposikia hayo alisema familia yako ni mimi wewe na mtoto. Kaka ilibidi akope pesa kwa marafiki na kulipa deni la hospitali, ila baada ya hapo alimwambia wifi "it's over between us".

Tangia 2010 kaka amerudi hajamuona mtoto wake, alishaweka kichwani kuwa mtoto atamtafuta akiwa mkubwa. Bidada kumbe amepata mashost wa kibongo huko aliko, anafuatilia habari za kaka kila kukicha. Tangia September alishapiga simu akisema anamleta mtoto aje Christmas na New Year bongo.

Mgeni amefika na mwanae, amefikia kwa wazazi na analala chumba kimoja na wifi yake. Kasheshe shost ananiambia ameamka anatandika kitanda cha wifi wakati mwenyewe yuko bafuni, si akute picha ya kaka yake imegandishwa hirizi kwa nyuma wifi anaweka chini ya mto akilala.

Shost ndiyo ananiambia leo hii, nimeshindwa kucheka, nilibaki kumuonea huruma mwanamke mwenzangu penzi linavyomtesa mpaka kujua ushirikina.
Kwa hiyo wewe umejifunza nini hapo...........
 
Back
Top Bottom