Mzungu na Limbwata

Mzungu na Limbwata

ila limbwata linaweza kufanya kazi mjue

Devil never wins, mwanzoni litaonekana kufanya kazi but mwishoni devil lazma akutose. Shetani kamwe hakupi kitu kizuri ukakifurahia maisha yako yote. Utafurahi kwa muda kadhaa then mateso yataendelea kama kawa. Ndoa nyingi zina migogoro kwa kuwa hawakupendana kwa dhati ila mwanaume alioa under the influence of limbwata. Likipungua nguvu hapo ndipo kasheshe huanza ndani ya nyumba. Mwisho wa siku mwanamke anajikuta mtumwa wa ibilisi kwa kushinda kwa waganga
 
Ni kweli mkuu, na wanaoolewa kwa kufanya libwata mara nyingi wanakwenda kwa financial gains kwenye ndoa. Wewe kweli kama unampenda mtu na unaona hasomeki si unaanchia tu na kusubiri mwingine.
 
Kwa hiyo wewe umejifunza nini hapo...........
Mthamini anaekuthamini. Ninauhakika kwa mapenzi kaka aliyokuwanayo kwa mkewe, wangeweza hata ku compromise kuwa akiba iliyopo nilipe gharama za hospitali na nitairudisha katika kipindi ... au nitakupeleka holiday au kitu chochote kile. Kijana aliihitaji emotional na financial support kutoka kwa mke wake katika kipindi kigumu.
 
Mkuu ninapiga picha, mzungu amekalia mkeka akiahidiwa na mganga "jamaa anarudi tu". Labda kuna aliempa ushuhuda kuwa amefanikiwa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] najaribu kuwaza akiwa kakaa kwenye mkeka sijui walikua wanawasiliana kwa lugha ipi na sangoma... Au ilikua lugha gongana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] najaribu kuwaza akiwa kakaa kwenye mkeka sijui walikua wanawasiliana kwa lugha ipi na sangoma... Au ilikua lugha gongana
Tena hapo mganga si ajabu alichukua laki tano kwa hirizi.
 
Ni kweli mkuu, na wanaoolewa kwa kufanya libwata mara nyingi wanakwenda kwa financial gains kwenye ndoa. Wewe kweli kama unampenda mtu na unaona hasomeki si unaanchia tu na kusubiri mwingine.

Wadada hawawez kumwachia kirahisi mkaka mwenye pesa. Ndo hapo wanalazimisha ndoa kwa limbwata. Sasa mwanaume kama hukumfaa akiwa na fahamu zake je atakufaa nini endapo utamchetua akili? Mwanaume wa kumroga wala hanogi. Natural love ndo mpango. A man should make an effort to get you and not vice versa. Tangu lini 'tetea' akamkimbiza jogoo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji3]? Jogoo ndo anatakiwa apambane ampate tetea
 
Hapo ndiyo unasema "Yes I do" kanisani lakini moyoni unajisemea nitakoma huko ninakokwenda.
 
Haaah haaaah...lol!!! Chezea dushe lenye joto wewe!! Back to the point, wanawake wa kizungu wako hivyo....hawaelewi nini maana ya extend family, na wanajua kukaba hatari mno, kuna jirani yangu mmoja, yeye ni mwalimu ktk shule fulani hivi ya primary (private) alimuoa dada wa kizungu baada ya kukutana hapo kazini bidada alikuja kama volunteer akanasa kwa huyo kaka. Sasa maisha yamekua balaa mzungu hataki mtu yeyote kukaa ktk nyumba yao...yaani waishi yeye, mumewe na watoto wao wawili, hataki habari ya mara hodi kaka..hali ya mama si nzuri tunafanyaje, wifi hodi umepika nini, mume akitoka kazini anatakiwa straight home, no habari za kupitia ktk vijiwe kujichanganya na washkaji! sasa hapo kwa mwanaume wa kibongo nadhani mnaweza kupata picha anakua ktk hali gani! haaaah haaaah! Ndio wakome kushadadia wazungu na huku sisi dada zao tuko bomba na tunawatii kama maboya, hata wakihamishia ukoo mzima ndani kwetu tupo tu, tunafanya kazi ya kuongeza size ya sufuria la ugali tu! Logging out!

Usijali Bibie na nyie mtapata mume pia
 
Lakini mkuu huwezi kuokota dodo chini ya mpapai uamini kweli hili ni dodo. Baba Kenzo alipatikana kwenye danguro sasa atakuwaje mtakatifu?
THE ISSUE NI JINSI ALIVOPRETEND YEYE TAJIRI ! SI ANGEMUAMBIE MWENZIE UKWELI TU? hv unajua viti vya harusi ya mange walitoka navyo dubai? halafu baada ya harusi eti wakavigawa?
 
Back
Top Bottom