Alitaka uongee story zauongo huyuMkuu ndiyo wanaonipa story, ulitaka niongee story zipi?
Mkuu ndiyo wanaonipa story, ulitaka niongee story zipi?
Labda hao mashoga wakibongo walimpeleka.
hata kama kuloga kupo ila sio kuloga mapenziKatika vitu vilinishindaga ni kuroga aiseee siamini hata kidogo hayo mambo japo wenyewe washirikina wanadai wanafanikiwa.
ila limbwata linaweza kufanya kazi mjueKitu asichoelewa huyu wifi ni kuwa jamaa amemkinahi kupita maelezo kwa tabia zake, ni point of no return.
hivi inakuaje mtu unaoaau kuolewa na mzungu maskini?Tatizo huyo mzungu anaonekana mchoyo,mbinafsi yaan hata hela ya kumtibia mzazi hataki itolewe,roho mbaya inamsumbua hapo kaona ndoa ipo na mtoto kapata tena wa kiume akajua atampelekesha kaka wa watu vilivyo.
Siku zako zinahesabika kama nawenyewe nimember was jfLakini siku mashost wakinishushia kisuto nitarudi JF mnisaidie kubeba msala.
50/50Mkuu unaweza ku testify?
Inaelekea tangia jamaa ateme amepata heat and run nyingi tu sasa anakumbuka jinsi jamaa alivyojicommit.Tatizo huyo mzungu anaonekana mchoyo,mbinafsi yaan hata hela ya kumtibia mzazi hataki itolewe,roho mbaya inamsumbua hapo kaona ndoa ipo na mtoto kapata tena wa kiume akajua atampelekesha kaka wa watu vilivyo.
Yaan mapenz nikitu chaajabu sana unaweza kumpenda mtu mpaka ukabak unajishangaa ukavumilia vituko vyote, ila cku moyo ukikinai utoshauriwa namtu utajikuta mwenyewe unajisepesha namuhusika anabaki akishangaaKitu asichoelewa huyu wifi ni kuwa jamaa amemkinahi kupita maelezo kwa tabia zake, ni point of no return.
Ni kweli mkuu na culture pia ni tofauti, kwa wenzetu matatizo ya kijamii kama ugonjwa serikali inasaidia kupita social funds, kwetu sisi familia ndiyo social funds zetu.Yaan mapenz nikitu chaajabu sana unaweza kumpenda mtu mpaka ukabak unajishangaa ukavumilia vituko vyote, ila cku moyo ukikinai utoshauriwa namtu utajikuta mwenyewe unajisepesha namuhusika anabaki akishangaa