Inconvenient Truths
JF-Expert Member
- Oct 21, 2014
- 439
- 354
Wazungu ni mke mume na watoto wao bas
Hakuna baba mama mjomba mjukuuu etc
Hakuna baba mama mjomba mjukuuu etc
Inaelekea tangia jamaa ateme amepata heat and run nyingi tu sasa anakumbuka jinsi jamaa alivyojicommit.
Dah mkuu kwahiyo hakuna chawazaz nawala ndugu watumbo moja!Wazungu ni mke mume na watoto wao bas
Hakuna baba mama mjomba mjukuuu etc
Wewe jamaa ni jeuri, na makaratasi aliweka pembeni amerudi bongo, mzungu aandike maumivu tu.Jamaa akaze msimamo akimsamehe kirahisi ataipata pata fresh,mzungu hajajirudi hapo ana pretend tu. Halafu ya kiafrika ya moto kuliko ya wazungu wenzie ndio maana anahangaika.
Kila mmoja abebe mzigo wake mwenyeweDah mkuu kwahiyo hakuna chawazaz nawala ndugu watumbo moja!
Wewe jamaa ni jeuri, na makaratasi aliweka pembeni amerudi bongo, mzungu aandike maumivu tu.
hivi inakuaje mtu unaoaau kuolewa na mzungu maskini?
Binafsi napenda sana style yaoTena wakati wewe unawaza ada ya mdogo wako amalize shule mwanzako anawaza hela ya holiday.
sijui kama umenielewa mkuu ila sio kwamba kuoa maskini au kuolewa na maskini hakupo ila mzungu maskini?Mapenzi ni kitu cha ajabu kweli. Unaweza penda mpaka watu wakadhan umechezewa kumbe wala.
sijui kama umenielewa mkuu ila sio kwamba kuoa maskini au kuolewa na maskini hakupo ila mzungu maskini?
Mkuu huku tunawaona wazungu wote matajiri bila kuelewa hiyo holiday ya kuona mlima Kilimanjaro ameweka pesa Zaidi ya miaka minne na ni crediti card ndiyo inaokoa jahazi.Nimekuelewa ndio nikajibu hivyo ila kifafanuzi. Mapenz hayachagui hali kwa wale wanaopenda bila kujali ni tajiri au maskin
Pia ukiwa kwenye nchi ya watu unaweza jikuta unaoa au kuolewa na maskini ili upate favour flan labda makaratasi ya uraia,ajira na mengineyo.
Kwa huku kwetu Tz,maskin wa kizungu wanapapatikiwa kisa rangi zao mtu yupo radhi aache mwafika tajiri ili mradi tu apate watoto chotara.
mzungu ni fursa tu hakuna kuwawekwa mapenzi paleNimekuelewa ndio nikajibu hivyo ila kifafanuzi. Mapenz hayachagui hali kwa wale wanaopenda bila kujali ni tajiri au maskin
Pia ukiwa kwenye nchi ya watu unaweza jikuta unaoa au kuolewa na maskini ili upate favour flan labda makaratasi ya uraia,ajira na mengineyo.
Kwa huku kwetu Tz,maskin wa kizungu wanapapatikiwa kisa rangi zao mtu yupo radhi aache mwafika tajiri ili mradi tu apate watoto chotara.
Mkuu huku tunawaona wazungu wote matajiri bila kuelewa hiyo holiday ya kuona mlima Kilimanjaro ameweka pesa Zaidi ya miaka minne na ni crediti card ndiyo inaokoa jahazi.
ahahaaa baba kenzo anataka wagawane hadi urithi wake bogo mbwa kala mbwa wallah nachekaga mimi! hela feki cheni fekiDu unanikumbusha ya shost Mange, alijua ameolewa na Bill Gate na wadada wa mjini watamkoma.
mzungu ni fursa tu hakuna kuwawekwa mapenzi pale
Du unanikumbusha ya shost Mange, alijua ameolewa na Bill Gate na wadada wa mjini watamkoma.