NIMPENDENANI
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 6,114
- 5,398
Hiyo nayo kazi pevu yaku tembea na hirizi 24/7 kwa nnavyo sahau sahau mbona ingekamatwa siku ya pili tuu..Huyu wifi penzi la kaka alikuwa nalo mkononi akalipiga teke sasa analitafuta kwenye hirizi, yaani ninapata picha alipolipa pesa ya kutengenezewa hirizi.
na mara nimevaa handbag hii na mbadilishaji hand bag zangu ni watoto au my hubby atoe vitu vya huku aweke huku,hajaiona ikawa Tafran.....Mbona ningekua saa hizi niko ndani ya Boat ya AZAM au niko ndani ya Raha leo naenda Tanga..