Mzungu awa msukule wa angola | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mzungu awa msukule wa angola

Discussion in 'Sports' started by Pdidy, Jan 25, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jan 25, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,495
  Likes Received: 5,725
  Trophy Points: 280
  Jamani kwa mlioona mechi ya angola akitolewa
  nimefurahisana wakati wimbo wa taifa ukiimbwa
  goalkeeper mzungu wa angolaaliniacha hoi alipo
  nynyua kichwa chake na kana kwamba anaona ile
  kamera akabana mdomo kabisa kama vile wamembesha misukule
  ya timu ili washinde;sijajua ajui kuimba ama alikuwa katika kufurahisha watu
   
 2. Lussadam

  Lussadam JF-Expert Member

  #2
  Jan 25, 2010
  Joined: Oct 13, 2007
  Messages: 1,051
  Likes Received: 386
  Trophy Points: 180
  we mwanga nini?? umejuaje kuwa misukule ndo inabana midomo namna ile??
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Jan 25, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,495
  Likes Received: 5,725
  Trophy Points: 280
  Lussadam
  Lussadam has no status.
  Member

  NO COMMENTS

  RGDS
  mwanahalisi
  JF Senior Expert Member
   
Loading...