Leo hii Mzungu, Mjapani, au hata Mchina na Mkorea ukimpa nafasi ya kuongoza Tanzania
hataruhusu demokrasia!
Jambo la kwanza kabisa atakalo lifanya ni
kusitisha kila kitu na kuongoza nchi kwa decree kwa miaka kama 50 au zaidi, ndiyo aje kuruhusu, kuna sababu kwa nini
apartheid AK Wazungu
walikataa Waafrika wasipige kura kuwachagulia Viongozi!
USA ilianzishwa
miaka ya 1700 lkn Wanawake walianza kupiga kura
mwaka 1920, Native Americans waliruhusiwa kwenye mwaka 1924 wakati Wamarekani wenye asili ya Afrika waliruhusiwa kuanza kupiga kura
mwaka 1965, izingatiwe kwamba USA ili uweze kupiga kura
ilikuwa ni lazima uonyeshe uwezo wakujua kusoma na kuandika lugha ya Kiingereza na
reasonig jambo ambalo makundi hayo niliyoyataja hapo juu
yalishindwa kuthibitisha kutokana na sababu mbali mbali! Kuna sababu kubwa sana kwa nini ilikuwa hivyo, nayo ni kwamba demokrasia inahitaji binadamu
kufikia ngazi fulani ya uelewa kuweza kuimudu!
Angalia leo hii Afrika yetu ni
chaos tu,
misunderstanding ya demokrasia inazidi
kulibomoa na kulirudisha nyuma bara la Afrika, watu wanatetea Wauza unga tena Bungeni na kujaribu kuwaadhibu na wale wanaojitokeza kupambana nao ili kuokoa jamii, wakati huo huo
hawatoi njia mbadala na bora zaidi ya iliyotajwa lkn wanaikataa iliyopo ingawaje watu wetu wanaendelea kuathirika na Madawa huu ni mmoja tu wa mifano mingi ambayo inaonyesha kwamba Afrika
tumeanza na demokrasia mapema sana, ilipaswa tuwe na
One ruler for all!
Nchini AK Wabunge wa Chama cha
Economic Freedom Fighters (EFF) wakichapana Bungeni!