Mzungu angeongoza Tanzania!

Mzungu angeongoza Tanzania!

Afrika kuna nchi ambazo hazina hiyo demokrasia, akisemacho rais ndicho kinatendeka lakini bado na wao tunaona wapo nyuma.
Pia kunazo nchi zenye demokrasia ya maigizo isiyokua ya kweli, lakini pia na wao wapo nyuma. Sasa unaposema nchi za Afrika zitaendelea tu kwa kunyimwa demokrasia, hujatuonyesha mfano wa nchi moja ya Kiafrika ambayo haina demokrasia lakini ipo mbele kimaendeleo.
Kuna ukweli flani . Mkuu unafikiri tatizo ni nini hasa?maana hata zenye demokrasi hazisongi mbele kwa Spidi Nzuri.
 
Back
Top Bottom