Nadhani mnawazungumzia wazungu wa kwenye movie,
Mngeenda kuishi kwao mngeelewa ni watu wa aina gani,
Hakuna watu wachafu kama wao,
Roho mbaya kama wao,
Chuki, wizi, ubinafsi vyote wamejaza wao,
Maendeleo yeah wapo juu ila tukiamua tunawaweza sema ukijaribu tu wanakuzimisha kama taa.
Mzungu wa kumuamini ni yule aliyekufa tu.