Asanteni sana kwa shukrani zenu na mimi nawapendeni kwa maneno yenu ya busara na mawazo yenu tuwe mfano bora katika kuwasaidia Watu na katika kuijenga Nchi yetu. Nawapongezeni kwa kunipa moyo na shukrani zenu kidumu Jamii forums wadumu wanachama wote wa Jamii forums mwenyeezi Mungu awabarikini wote kwa ujumla ameen.
Hakuna haja ya kutumia hiyo mediterenian diet ni ya Wazungu sisi watu weusi vyakula vyetu ni Orignal hakuna haja ya kutumia hiyo diet ya kizungu .Na mi pia nikupe bigup mkuu.
Ila kuna thread 1 nimeipitia saivi kuh vyakula na matunda yanayosaidia kuongeza kumbukumbu na ulishauri tutumia mediterenian diet, ndo diet ipi hio mkuu
ALLAH akuongezee wajihi mwema na akulipe malipo mema siku ya kiyama inshaalah!SHUKRAN JAZILAH
Ameen kwa sote nashukuru kwa Dua yako nzuri sana nimeipendaALLAH akuongezee wajihi mwema na akulipe malipo mema siku ya kiyama inshaalah!SHUKRAN JAZILAH
Myn17 Asante na wewe sijuwi ni kaka au Dada lakini ninakushukuru pia kwa dua yangu kuitikia dua yangu asante ubarikiwe.Amin,mashaALLAH.
Nimeona 2 niitikie dua yako Ummu!kaka Mzizi thank u.