fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 5,609
- 7,168
- Thread starter
- #21
hapana hapo alijitahidi sana,sema vision ya mpira bado hajaikuzaAliniudhi anataka kuruka tiktaka wakati hata ukifungia ugoko faida ni kubwa KWA timu yako.
hapana hapo alijitahidi sana,sema vision ya mpira bado hajaikuzaAliniudhi anataka kuruka tiktaka wakati hata ukifungia ugoko faida ni kubwa KWA timu yako.
Uliwahi kucheza mpira au unaongea kama mwijaku? Unadhani kufuga goli ni kitu rahisi? unaposema last season angeongoza kwa ufungaji una mlinganisha na nani?Achana na usimba na uyanga.
Mzize ana jua kuji position sana yaan anafika mpira unapofika ila shida yake kubwa ni kutumia akilia ya ufungaji hapa ndo ambako kunamuharibia
Hata kuwika kwake kumechelewa kwasababu amekuwa anakosa magoli mengi sana ambayo mtoa mada ndo kaampa mbinu kuwa atafute kocha hata nje ya wa club wakumuongezea ujuzi na kujifunza zaidi
Unavyoongela hapa ni kama una taka kuona ni sawa ila hili swala Mzize achukue sana.
Kama sio makosa ya kutofunga msimu ulopita alikuwa yeye ndo aongoze hata magoli.
Anakitu ndo maana wanao mtakia heri kama mtoa mada anampa ushauri afanye nini.
Na makosa yake yanaonekana sana kwasababu anajua kujiweka sehem mipira inafika ambako wachezaji wengo hawawezi sasa kuwa bora zaidi basi awe mmaliziaji mzuri
Hao Morocco unao wasifu walifungwa na Kenya wakiwa pungufu Osama hakuwemo? ile Barcelona ya Messi, Ronaldho, Xavi na Iniesta ilikua ina shida kila siku? hakuna mechi wametoka 0-0?wanakosa lakini nafasi moja tu ya muhimu ni lazima waitumie,ndivyo walivyofanya,huyo osama kwenye hayo mashindano,osama kishafunga magoli 4 na ndio huyohuyo aliwafunga simba kwenye fainali zanzibar,anajua sana kufunga,huyo kocha wa morocco ndio kamfundisha osama toka akiwa na miaka 10 hadi leo
ndio walifungwa,ndio osama alikuwemo,lakini unamjua kocha wa kenya? unajua ubingwa wa kocha wa kenya?kocha wa kenya amefundisha Man U, kenya hawana wachezaji wazuri kama wa tanzania,lakini wana kocha bora sana na mwenye mbinu,aliwapanga wachezaji wake kimbinu ili kuwafunga morocco.kocha wa namna hiyo sisi hatuna ndio maana osama aliibuka kimbinu na kutufungaHao Morocco unao wasifu walifungwa na Kenya wakiwa pungufu Osama hakuwemo? ile Barcelona ya Messi, Ronaldho, Xavi na Iniesta ilikua ina shida kila siku? hakuna mechi wametoka 0-0?
Mzize Ali ikwamisha sana TAIFA stars baada ya kukosa nafasi za wazii waziii unajua mtu kama mayele hakukosi palee..Kijana umepambana sana,huna misingi ya soka lakini umepambana sana kama osama wa morocco ambae amelelewa kisoka.Lile goli ulilokosa sio tija maana ni alama ya wazi kuwa hukupata malezi ya kisoka,sasa ongeza bidii kujifunza kila siku.Na wasikilize sana makocha wako sana na pia tafuta makocha wako wa binafsi ili wakupe mazoezi.Kwenye timu ya taifa pale hakuna kocha wa kukufundisha wewe na ndio maana ile mechi ya morocco ulikuwa unakimbiakimbia tu uwanjani.Pambana kijana
Unajichosha tuMzize,mwanangu hebu fanya yafuatayo:
1.Chakula:
Usile nyama nyekundu kabisa,kula kuku,samaki,nyama ya mamba na usitumie mafuta ya kupikia yatokanayo na nyama,tumia mafuta yatokanayo na mimea.Tafuta nutritionist akusaidie kupanga chakula
2.Mazoezi binafsi tafuta mtu wa kujenga uimara wa mwili na kocha wa mbinu za ufungaji magoli
3.Jitahidi sana kupumzika sana na usijiingize kwenye mambo ambayo ni hatari kwa afya yako
4.Jitahidi kujifunza kutoka kwa mastrikers wengine wa duniani
5.Tafuta ajenti bora kabisa akusimamie masuala yako