Kasema inaendelea wasap
Nami nimemfahamu kulekule fb. Nilikuwa nafuatilia hadithi kwenye kurasa inaitwa Uwanja Wa Simulizi. Kinachoonekana ile kurasa alianzisha yeye na baadae akawa anapost na waandishi wengine kama kina Mosenya na Tuwa. Sijui walizinguana nini ila George Mosenya alilalamika sana kuhusu huyu jamaa na toka siku ile page wakamsusia na hata haikudumu sana ikapoteza mvuto. Hiyo ilikuwa kama miaka mitano iliyopita. Sasa leo unapotuambia kaacha kazi na kule nahisi tu tatizo atakuwa yeye.Kumbe unamfaham
Nami nimemfahamu kulekule fb. Nilikuwa nafuatilia hadithi kwenye kurasa inaitwa Uwanja Wa Simulizi. Kinachoonekana ile kurasa alianzisha yeye na baadae akawa anapost na waandishi wengine kama kina Mosenya na Tuwa. Sijui walizinguana nini ila George Mosenya alilalamika sana kuhusu huyu jamaa na toka siku ile page wakamsusia na hata haikudumu sana ikapoteza mvuto. Hiyo ilikuwa kama miaka mitano iliyopita. Sasa leo unapotuambia kaacha kazi na kule nahisi tu tatizo atakuwa yeye.
Tuvute Subira anaweza akajibu.Kuna page inginr inaitwa simulizi za nyemo huko ndionakotoa story zake na janakapost mzim itaendelea wasap wadau wanauliza n bure au na pesa hajibu
....Unalipia Buku5 kwa simulizi yote...Tumemuuliza hakuna majibu tujue ni tunalipia au for free
...Lipia basi Madame utuletee Uhuondo...Alinijibu ni elf tani story yote
...Lipia basi Madame utuletee Uhuondo...Alinijibu ni elf tani story yote
WhatsApp unalipia niulize mimiKuna page inginr inaitwa simulizi za nyemo huko ndionakotoa story zake na janakapost mzim itaendelea wasap wadau wanauliza n bure au na pesa hajibu
2000*2000. Ni milioni ngap mkuuHii story ikiendelea hapa namnunulia kila mtu vocha ya 2000
4,000,0002000*2000. Ni milioni ngap mkuu
Njoo chukuaNikope buku mkuu
Nna njaa kinoma