Guys mnanilaumu bure tu. Kuna mengi yalitokea...kwanza nianze na ile page ya Uwanja wa Simulizi. Kwanza haikuwa yangu, nilitumia nguvu kutafuta watu atlast wakanitoa na ndipo nikaanzisha page iitwayo Simulizi za Nyemo. Ila baadaye mwenye page akaiuza kwa mshikaji ambaye aliamua kuposti mambo yake ya ngono ngono. Page ikaishia hapo.
Niliacha kazi Global...Am proud of it. Unajua mpaka mtu anaacha kazi sehemu jua kuna jambo...huwa sikurupuki hata kidogo, ninafanya mambo kiakili sana. Kwa watu wanaojua touch ya hadithi zangu wakisoma mahali popote wanajua huyu ni Nyemo....sipendi kuzungumzia hilo sana kwani naamini wenye akili wanajua namaanisha nini.
All in all...nowdays natoa vitabu...simulizi zote ambazo zilipita kwenye mikono yangu, vipande vyake vitakuwa humo...so mtu anayeniona mbaya...huwa sipendi kuuonyesha wema kwani hata nilipoletewa bifu kwenye page ya Uwanja wa Simulizi....mambo yakaisha na nikawa poa na waandishi wengine kwa kuwa siwekagi mambo moyoni....wanaojua tabia za nyota ya samaki wanaelewa.
So guys hii hadithi ninayo yoooote....ni nzuri...inasifiwa sana ila niliacha kuiposti kwa makusudi na sikuwahi kumuuzia mtu huko Whatsapp.