kwa jinsi stori ilivoanza inaonyesha hawajawahi onana labda kama lile alilomfanyia baba ake walipanga pamojame nataka waonane jaman
...nimekua mtumwa na hii Hadithi yako tafadhali ukiendelea Nitag #Madame S...ninashahuku sana yakujua zile no.zakwenye Maua David alimaanisha nini?..Nitag Mkuu!
Huyo Nyemo ni mtu wa mavurugu sana kuna kipindi waandishi wenzake walimzilia page kule FB ilikuwa ina followers kama laki hivi.Let's hope this time tatizo sio yeye!Tangazo:
Nyemo ameacha kazi global publishers, ameacha na kutoa kazi za shigongo nahisi kuna mtafaruku btn shigongo na yeye nahisi sina uhakika,ametoa hili tangazojuzi kwenye page yake baada ya watukumzogoma kuhusu hii hadithi kusitishwa na had leo hajapost.
Basi hajabadilika huyu jamaa.Nimeona watu wamempa makavu live akaamua kudelete post
Dah!mzimu ndo basi tenaTangazo: