Mzigo wa nini?

Mbona c wanaume hatuna hofu ya kuchanika suruali zetu wala hatubebi cherehani?

kaka jambazi..........beba charahani ukitaka hujakatazwa ati. Mwanamke kaamua kutumia haki yake ya msingi ya kubeba kile apendacho kwenye pochi lake ndo maana likatuna kivile.

unaweza kui waive haki yako hiyo vilevile ukipenda
 
we hakimu? maswali mi siko jela eti? ok nisiingie kwenye infidelity
Ahaa! Sawa na safi kabisa.

Mwanamke aliyeolewa kuingia kwenye infidelity ni DHAMBI na LAANA kubwa. Ila mwanaume aliyeoa kuingia kwenye infidelity ni kudumisha MILA zetu tukufu za kiafrika. Najua kuna watu watabisha lakini ukweli ndio huo...
 
Kwanini kwenye hiyo list hakuna hela/ ATM card?

Mi nilizani ndo vitu vya muhimu mwanamke kuanavyo na vingesaidia kupatikanika kwa nafasi kwenye dalalala.

Sa mfano unafanya kazi Kariakoo, kunaulazima gani wa kubebelea saduku wakati vitu vyote vinapatikanika madukani?
Najua nitajibiwa eti dharula mf MP au kuchanika kwa nguo kunaweza kutokea ghafa, sa kama ni ivyo, itakushinda nini kumtuma mtu wa hapo ofisni akakununulie sindano ,uzi au always?

Afu hayo mabengi msiwe mnakuja nayo kwenye sherehe, kwani hutumika kuibia vinywaji.

Hapo kwenye red, umejuaje hayo kaka JAMBAZI???

Mi mara nyingi kwenye maharusi huwa napewa uenyekiti wa kamati ya vinywaji na wakati mwingine ulinzi, huwa nagombana nao sana.
 
kaka jambazi..........beba charahani ukitaka hujakatazwa ati. Mwanamke kaamua kutumia haki yake ya msingi ya kubeba kile apendacho kwenye pochi lake ndo maana likatuna kivile.

unaweza kui waive haki yako hiyo vilevile ukipenda

Tatizo huwa mnatubana kwenye vipanya na hayo masanduku yenu.Afu wakati mwingine kwenye daladala mnatupa tuwabebee eti mmekaa vibaya.
 
kakajambazi .................akikwambie umebebee mtose. raha apate yeye udhia awape wengine kwa nini! lol
 
Ahaa! Sawa na safi kabisa.

Mwanamke aliyeolewa kuingia kwenye infidelity ni DHAMBI na LAANA kubwa. Ila mwanaume aliyeoa kuingia kwenye infidelity ni kudumisha MILA zetu tukufu za kiafrika. Najua kuna watu watabisha lakini ukweli ndio huo...

lakini mama matesha anayajua haya?
 
hiyo ya khanga nadhani sio wanawake wote, cjakuaga nawazo la kubeba khanga kabisa, sema handbag yangu haiishi makorokoo, yaani nikitupa fones humu kuzipata ni mpaka ni beep, cjui hata kwanini...lol

Naam hivyo ndivyo jamaa mmoja alivyohitimisha baada ya kushangazwa na uzito wa kijaluba cha mkewe kwamba kimejaa makorokoro tu, lakini kwa mwingine inaweza kuwa ni makorokoro kwa mwenye kijaluba ni vitu muhimu kuwa navyo kila siku iendayo kwa Mungu.
 
Mom huyo anawachuuza tu watu humu, akifika home heshima kwa mikono yote miwili.

kweli kabisa anasema hapa bse mwenyemali hayupo! anawadanganya vijana hapa kimada ni free, infidelity ruksa, lakini mama matesha angekua hapa wala asingeweza kuchangia mada za infidelity na angeipinga kwa nguvu zote!
 
Handbag hizi tunabeba za saizi tofauti na tunaweka vitu tofauti kulinga na unakokwenda, how long will u stay there, kama ni tarehe za mshahara (mwisho wa mwezi) unakuwa na tahadhari zaidi.

Kanga ni muhimu sana maana unaweza pata tu mshtuko kidogo ukaanza pokea mshahara ikawa tabu tena.

To me hand bag ni kama inanipa confidence, siwezi kutembea mikono mitupu, naweza kuanguka esp nikikutana na group of mens.
 
Umenichekesha sana Mbu...kuna dada mmoja ofisini huwa namtania jioni lazima ameze panadol na mzee huenda akakosa huduma kwa uchovu kisa begi kubwa.
 
Kwanini kwenye hiyo list hakuna hela/ ATM card?

Mi nilizani ndo vitu vya muhimu mwanamke kuanavyo na vingesaidia kupatikanika kwa nafasi kwenye dalalala.

Sa mfano unafanya kazi Kariakoo, kunaulazima gani wa kubebelea saduku wakati vitu vyote vinapatikanika madukani?
Najua nitajibiwa eti dharula mf MP au kuchanika kwa nguo kunaweza kutokea ghafa, sa kama ni ivyo, itakushinda nini kumtuma mtu wa hapo ofisni akakununulie sindano ,uzi au always?

Afu hayo mabengi msiwe mnakuja nayo kwenye sherehe, kwani hutumika kuibia vinywaji.

Hapo kwenye red, umejuaje hayo kaka JAMBAZI???

yaani huyu kaka jambazi ni jambazi kweli maana kwanza kaulizia Tm na hela then bia za wizi, mmh
 
Umenichekesha sana Mbu...kuna dada mmoja ofisini huwa namtania jioni lazima ameze panadol na mzee huenda akakosa huduma kwa uchovu kisa begi kubwa.

muahahah ...........hiii kali! duh
 
...hehehehe....aheim!....
ama huu ni mtihani wajameni. Watu wanasema 'mla kuku wa wenziwe, miguu humuelekea!'

Hivi kama kwenye onja-onjaring ulikutana na jimama lililokuja 'kamili' na khanga yake mkobani, ambayo ilikuwa na matumizi mengi tu mlipokutana faraghani, ...ni haki kumuuliza Mkeo anachukua khanga ya nini mkobani mwake?, tena baada ya kuifukizia manukato?

Halafu kwa wale wasiosoma vizuri mistari tafadhalini msini quote vibaya hapa, sie mie jamani. Enhee, msijenihukumu buree.

Ndimi Mjumbe (hauwawi).
 
Mbu kama unataka kuuliza swali hilo basi uwe tayari kwa kasheshe itakayozuka kufuatia swali hilo.

Baba Mwenye nyumba: Hiyo Kanga uliyoifukiza kwa manukato unaiweka kwenye kijaluba chako unaenda nayo wapi?

Mama mwenye nyumba: Kwani wewe unafikiri ninaenda nayo wapi?

Kitakachofuata baada ya wote kuulizana maswali anakijua Mungu na kama hukujiandaa utajuta kuzaliwa.
 
Mmmhh jamani kwa kanga hapana sijatwmbea nayo na sina matarajio ya kufanya hivyo!

Mimi kanga mkobani inamaanisha mtu Ana kwenda msibani au harusi zileza lunch nyumbani wenyewe wanaita shinda
 
weee acha tu khanga ina matumizi mengi kuliko maelezo! Yalio halali ndani ya ndoa na yasio halali nje ya ndoa pia.
 
Back
Top Bottom