Kikao cha Wanaume 2023

Mr George Francis

Senior Member
Jun 27, 2022
186
212
Dear Gentlemen,

Niaje wakuu?
Siku nyingi zimepita hatujakutana kwenye vikao vyetu kujadili mambo yetu.

Pamoja na mvua zinazoendelea kunyesha lakini, hakuna namna kikao kitaendelea kama kilivyopangwa.
Niombe tuwe wavumilivu, kwani hiki ni kikao muhimu sana.

Kwenye kikao kilichopita tulijadili mambo mengi sana, nisingependa kuzungumzia hayo. Ndugu karibu atakuja kutupa mrejesho.

Leo kwenye kikao hiki tuna ajenda kuu tatu, ambazo wanaume wenzangu tunakwenda kujadili.

•MOJA: Kupoteza wanachama
•MBILI: Kujikinga na HIV/AIDS
•TATU: Mahusiano na Uchumi

AJENDA YA KWANZA.
Nasikia kuna wenzetu kibao siku hizi wameleft kundini. Inasikirisha sana kuwapoteza wanetu.

Inaumiza kuona ndugu zetu kina Joseph wanajiita kina Josephina, James anajiita Janeth!! So sad wakuu!

Lakini, ni nini hasa kimewapeleka huko?
Kwanini washiriki vikao na kina dada wakati kwenye vikao vyetu hatuwaoni.?

Sijui ni dhiki au ni laana, mwenyewe nashangaa.
Nini kifanyike tuwarejeshe kundini wakiwa na ukamilifu uleule kama zamani?

Ajenda hii naiwakilisha kwa mwenyekiti na katibu ili waipitishe na ijadiliwe ili kama jamii au taifa itambue namna bora ya kushughulika nalo.

Mimi ni mjumbe tu wakuu ila nimepewa mamlaka ya kutamburisha ajenda za leo.

AJENDA YA PILI
Ebwana wee!! Ni noma sana. Nawaambiaje! Ni noma na nusu.

Vijana wenzetu hasa vijana wadogo kwanzia miaka 14 hadi 25 kwa mujibu wa takwimu za hivi karibuni wamekuwa kwenye hatari kubwa ya kupata maambukizi mapya ya HIV.

Wazee! Hii ni hatari! Kama tujuavyo vijana ndio nguvu kazi ya taifa! Itakuwaje kesho hatima ya taifa letu likiwa na wimbi kubwa la vijana wenye maambukizi?

Japo kupata HIV sio mwisho wa maisha lakini kuna namna usipokuwa imara kisaikolojia basi ndoto zako zinaenda kupotea.

Nalizungumza leo hili kwenye kikao hiki cha wanaume lakini taarifa hizi, pia ziwafikie kina dada zetu kule mtaani, mashuleni au vyuoni.

Najua kuwa wanajua lakini, muhimu kukumbushana. Tamaa za muda mfupi zisiwafanye wakapoteza ndoto zao zote za muda mrefu.

Ngono zembe zimekatisha ndoto za ndugu zetu wengi sana ambao familia na taifa letu bado lilikuwa linawategemea.

Mheshimiwa mwenyekiti, naomba ajenda hii ipitishwe na ijadiliwe kwa masrahi mapana ya taifa letu la Tanzania.

AJENDA YA TATU
Hii ni ajenda nzito sana, natamani itengewe muda zaidi, ikiwezekana kikao kijacho tujadiliane zaidi.

Lakini kwa kuwa nimepewa fursa hii leo naomba nitie neno kidogo.

Kuitwa sukari ya warembo sio sifa nzuri katika zama hizi.

Vizuri vinazaliwa kila kukicha, huwezi kuwa nao wote. Mahusiano mengi yanamaliza pesa kwenye ATM zetu.

Siku hizi kina Mwajuma hawasemi tena eti "tuma na ya kutolea" wao wanakuja tu kwa nauli zao, lakini hawaondoki bila kutapika ulichokula.

Mheshimiwa mwenyekiti naomba kuwasilisha ajenda hii ili tupeane maarifa, ni jinsi gani tunaweza kuboresha uchumi wetu na kujenga mahusiano bora, kwaajili ya kesho yetu iliyo bora kwetu, familia zetu na taifa la Tanzania kwa ujumla wake.

Nisiwe na maneno mengi, ila nishukuru kwa nafasi hii adhimu.

Nikazie tu kwamba kikao kimefunguliwa rasmi, karibu sasa tujadiliane kwa kina.
Hoja zote zitazingatiwa na kufanyiwa kazi.

Ahsanteni sana. 🙏

✨Kwa dadaz ambao mnafuatilia kikao hiki online mnaruhusiwa kuchangia mada.
⭐Sisi wanaume tupo hapa Magomeni mapipa tunaendelea na kikao.

Mjumbe wa kikao:
Mr George Francis
Email: mr.georgefrancis21@gmail.com
Screenshot_20231115-130030_1.jpg
KIKAO
 
Ahsanteni sana.

Kwa dadaz ambao mnafuatilia kikao hiki online mnaruhusiwa kuchangia mada.
Sisi wanaume tupo hapa Magomeni mapipa tunaendelea na kikao.

Mjumbe wa kikao:
Mr George Francis
Email: mr.georgefrancis21@gmail.com
View attachment 2814419KIKAO
Hilo grupu la wasap linahusu nini ?
 
kwanini kikao kisiwe na ajenda ya
" ADHABU BAADA YA KUFUMANIWA"
Sio mnauana tu mara kubakana bila miongozo. Kuna mwingine kapigwa panga na mke wa mtu mwenyewe sio kwamba ana uzuri sana basi tu kwa vile ni mke wa mtu ila inasikitisha kupoteza maisha sababu ya kiwango hicho cha uzuri wa mwonekano wa huyo mke wa mtu.
 
Agenda ya ushoga, hilo ni swala mtambuka haliwezi kuisha ukiamua kuwachukia sawa wewe poteza muda wako.

Agenda ya ukimwi na uchumi, tulia na mmoja, kua mwaminifu.
 
Ajenda ya kutokusamehe mwanamke msaliti iongezwe hapo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom