Mzee Yusuph njaa imempiga kaamua kurudi kwenye Muziki

I AM NO ONE

JF-Expert Member
Aug 7, 2020
389
576
Habari hivi wanaume wenzangu hili la huyu mzee yusuph tumuweke kundi gan ? kigeu geu au paka mapepe..si alisema mwenyewe htaki dhambi hta kidgo sasa kamrudia Mungu.
 
habari hiv wanaume wenzangu hili la huyu mzee yusuph tumuweke kundi gan ? kigeu geu au paka mapepe..si alisema mwenyewe htaki dhambi hta kidgo sasa kamrudia mungu.
Yani unasema na we ni mwanaume? Halafu habari ya kiudaku ya kiswahili namna hii kweli unakua mwanaume kweli?
 
'usitukane mamba kabla hujavuka mto'

eti mziki wa kishetwani;na shetani ameshamtema kwenye taarabu yake

alibugi,alitaraji angekuwa analipwa mshahara na maustaazi kumbe wao nao wanamtegemea
 
'usitukane mamba kabla hujavuka mto'

eti mziki wa kishetwani;na shetani ameshamtema kwenye taarabu yake

alibugi,alitaraji angekuwa analipwa mshahara na maustaazi kumbe wao nao wanamtegemea
kigue geu yule dini inataka ujitoe haswaaaa
 
'usitukane mamba kabla hujavuka mto'

eti mziki wa kishetwani;na shetani ameshamtema kwenye taarabu yake

alibugi,alitaraji angekuwa analipwa mshahara na maustaazi kumbe wao nao wanamtegemea
Dah kwa hyo maustadh walikuwa wanakula pesa alizovuna wakati ulee kabla hajaokoka eee sasa zimeisha wamemtenga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom