Mzee Warioba kinacho kuwasha ni nini ?

Mzee Warioba kinacho kuwasha ni nini ?

Aende zake huko huyo warioba, atakuwa katumwa na cia kusambaratisha muungano.
Madhara ya Elimu ya shule za kata ndio kama haya! vijana hamsomi wala hamna uwezo wa kujadli na kuchambua mambo, mnakaririshwa na kuimbishwa nyimbo kama kasuku!
 
kibe ww ni punda huko kichwani kwako ni tope tuuu huna sera njema kwa taifa hili .
 
Wewe ndiye jiulize konakuwasha nini. Warioba kama raia wa kawaida ana haki ya kueleza mawazo yake mbele ya wenzake kama iivyo kwako. Kama unamhofia basi kuna kitu unaogopa atakuumbua.
 
Kwani huyo komba ananinii?mbona mnampa ujiko sana?hamjui kwamba Komba nii mburudishaji?wakati ule mzee warioba akiwa Waziei mkuu anakuambia alikuwa hapati usingizi bila kuburudishwa na taarabu alizokuwa anaimba komba!akiimba vizuri kina mzee warioba walikuwa wanampa vizawadi sasa leo iweje awe tishio kwa warioba?haiwezekani!
 
Kwanza nitoe pongezi kwa mh.john komba kwa kusema kwa uwazi bila soni kuhusu huyu babu warioba, warioba alipewa heshima kubwa kuwa mwkt wa tume.na muda wote wa kazi yake alikuwa anasisitiza aachwe huru afanye kazi asiingiliwe. Namuliza huyu mzee ana lengo gani kazi yake imeisha ipo kwa ngazi nyingine ye kamaliza na aliachwa huru.nini kinamwasha huyu mzee kutwa yuko mikutano hadi anadiriki kusema atapambana mtaani na wajumbe wa bmk . Mzee wewe unamalengo gani hasa au sbb uliyoyapika wameyatoa. Mzee tulia upumzike zama zako zimepita,acha tuvurugia nchi yetu

Hakika KIBE akili zako zimefanana na za Komba au wote mlikua waimbaji wa ile bendi yenu ya TOT.
 
Kibe

1. warioba ni raia wa Tanzania
2. ameishawahi kuwa waziri mkuu n.k, so ni mmoja wa fathers of this Nation,(kubali kataa)
3. Hoja za warioba zina mashiko na lazima uwe punguani kubishana naye japo kiduchu
4. Warioba kama mzalendo wa kweli hatakaa kimya, hata akifa ataendelea kusema tu, kama ilivyo kwa Nyerere

The best way ku deal na warioba ni kufumba macho na kuamua mambo yenu huko, pasi kumhusisha; ukija kama hivi ulivyokuja utaona kabisa unavyoona aibu

Kizazi cha sasa cha CCM ni kizazi kijinga kabisa kupata kutokea katika historia ya nchi hii.

Kaka mtu mwenyewe ana akili kama za komba unafikiri atakuelewa kweli? Ila nakupongeza kwa kumuelewesha kidogo tu ili ajijue yuko wapi.
 
...warioba amevuka level ya vyama kama mamburula yanayochakachua matakwa yetu kwa maslahi yao ukiwemo wewe mleta mada,mnatuharibia nchi nyambafu...
 
Madhara ya Elimu ya shule za kata ndio kama haya! vijana hamsomi wala hamna uwezo wa kujadli na kuchambua mambo, mnakaririshwa na kuimbishwa nyimbo kama kasuku!

Haya, we uliyesoma shule Saint..... Mbona unapelekeshwa na Disco Jocker na kutwa unashinda kwenye maandamano wakati Dj yuko south anakula bata na small house. Misukule bana, jitambue.
 
Unasikitisha Hata Jina Lako huwez kuandika, kweli mtaji wa ccm ni wajinga kama wewe

kwenda huko,kwani we unajua jina langu kuliko mimi mwenyewe! Mimi sio Ghostryder kama ulivyodhani wewe Msukule wa Disco Jocker. Halafu haka kamtindo kenu ka kijinga ka kudai sisi tumesoma shule za kata kanaacha maswali. Yaani kila pro chagadema anajifanya kasoma ulaya, wakati kiuhalisia we ni hohe hahe kabisa mngese mkubwa we.
 
Haya, we uliyesoma shule Saint..... Mbona unapelekeshwa na Disco Jocker na kutwa unashinda kwenye maandamano wakati Dj yuko south anakula bata na small house. Misukule bana, jitambue.
Bado hujachelewa, rudi shule kijana ukajijengee uwezo wa kufikiri, kuchambua na kujadili hoja badala ya kushinda unaimba nyimbo za kipuuzi kama hizi hapa jukwaani.
 
Ninaomba Tu Mainterahamwe Msije Mkajiroga Mkamuua Babu Yetu, Hakiyamungu Tutachinjana. Mnadhani Tutakubali Kama Mlivyomuu Sengondo Mvungi( R I P)??
 
Bado hujachelewa, rudi shule kijana ukajijengee uwezo wa kufikiri, kuchambua na kujadili hoja badala ya kushinda unaimba nyimbo za kipuuzi kama hizi hapa jukwaani.

Kila mwana JF hujifanya kasoma sana wakati pengine una ka digrii ka HIV Counselling, sijui dawa zikipatikana utafanya kazi gani mburula we.
 
Kwanza nitoe pongezi kwa mh.john komba kwa kusema kwa uwazi bila soni kuhusu huyu babu warioba, warioba alipewa heshima kubwa kuwa mwkt wa tume.na muda wote wa kazi yake alikuwa anasisitiza aachwe huru afanye kazi asiingiliwe. Namuliza huyu mzee ana lengo gani kazi yake imeisha ipo kwa ngazi nyingine ye kamaliza na aliachwa huru.nini kinamwasha huyu mzee kutwa yuko mikutano hadi anadiriki kusema atapambana mtaani na wajumbe wa bmk . Mzee wewe unamalengo gani hasa au sbb uliyoyapika wameyatoa. Mzee tulia upumzike zama zako zimepita,acha tuvurugia nchi yetu

Wewe nahisi Elimu ya MEMKWA inakuhusu
 
Back
Top Bottom