mjombajona
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 262
- 50
Ni kweli mkuu maana hapo ni watu wawili tofauti mmoja mwanasheria mwenye uwezo mkubwa na uzoefu wa kutosha, pia mtu ambaye alishakuwa mwanasheria mkuu, waziri mkuu vs komba ambaye alikua akiinba nyimbo za kumsifu warioba na wenzake wakiwa ofisini..watu wanashidwa kuona hiyo tofauti mkuu..
Nimeipenda hiyo... aseme asemalo lakini K alimwimbia nyimbo za kumsifu Mzee Warioba akiwa Kiongozi Mkuu wa Kitaifa.