MT KILIMANJARO
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 4,215
- 762
We hujui historia. Uliza Gobarchov alivyotumika kuivunja USSR, acha kunywa viroba kutwa kucha.
Hakika haya ndio madhara ya BIG RESULT NOW vijana wote wa lumumba wako kama maroboti.

Madhara ya Elimu ya shule za kata ndio kama haya! vijana hamsomi wala hamna uwezo wa kujadli na kuchambua mambo, mnakaririshwa na kuimbishwa nyimbo kama kasuku!
Haya ni mawazo dhalili yanayotokana na kukosa elimu ya kutosha! lakini bado hujachelewa, badala ya kushinda hapa jukwaani ukishabikia CCM nenda kajisajili kwenye Taasisi ya Elimu ya watu wazima ili ujijengee uwezo wa kufikiri na kujadili hoja kisomi!Kila mwana JF hujifanya kasoma sana wakati pengine una ka digrii ka HIV Counselling, sijui dawa zikipatikana utafanya kazi gani mburula we.
Kwanza nitoe pongezi kwa mh.john komba kwa kusema kwa uwazi bila soni kuhusu huyu babu warioba, warioba alipewa heshima kubwa kuwa mwkt wa tume.na muda wote wa kazi yake alikuwa anasisitiza aachwe huru afanye kazi asiingiliwe. Namuliza huyu mzee ana lengo gani kazi yake imeisha ipo kwa ngazi nyingine ye kamaliza na aliachwa huru.nini kinamwasha huyu mzee kutwa yuko mikutano hadi anadiriki kusema atapambana mtaani na wajumbe wa bmk . Mzee wewe unamalengo gani hasa au sbb uliyoyapika wameyatoa. Mzee tulia upumzike zama zako zimepita,acha tuvurugia nchi yetu
Hakika haya ndio madhara ya BIG RESULT NOW vijana wote wa lumumba wako kama maroboti.
Kwanza nitoe pongezi kwa mh.john komba kwa kusema kwa uwazi bila soni kuhusu huyu babu warioba, warioba alipewa heshima kubwa kuwa mwkt wa tume.na muda wote wa kazi yake alikuwa anasisitiza aachwe huru afanye kazi asiingiliwe. Namuliza huyu mzee ana lengo gani kazi yake imeisha ipo kwa ngazi nyingine ye kamaliza na aliachwa huru.nini kinamwasha huyu mzee kutwa yuko mikutano hadi anadiriki kusema atapambana mtaani na wajumbe wa bmk . Mzee wewe unamalengo gani hasa au sbb uliyoyapika wameyatoa. Mzee tulia upumzike zama zako zimepita,acha tuvurugia nchi yetu
Haya ni mawazo dhalili yanayotokana na kukosa elimu ya kutosha! lakini bado hujachelewa, badala ya kushinda hapa jukwaani ukishabikia CCM nenda kajisajili kwenye Taasisi ya Elimu ya watu wazima ili ujijengee uwezo wa kufikiri na kujadili hoja kisomi!
Mdogo, haya mapovu hayakusaidii kujijengea uwezo wa kujadili hoja kisomi! fuata ushauri tu, nenda kajiandikishe Taasisi ya Elimu ya Watu wazima ili uanze masomo ya jioni kupanua wigo wa uelewa, kufikiri na kujenga hoja katika mijadala! tena karo yake ni nafuu sana, unaweza ukatumia hizo buk 7 unazolipwa Lumumba kujilipia karo.Tangia uanze kuandika humu jf, sijawahi kuona umeandika na kujadili hoja kisomi, zaidi ya kuwaponda watu eti hawajasoma. Hivi, wewe uliyesoma mbona hujajijengea uwezo wa kutoa mada zenye ushawishi chanya zaidi ya kashfa za kielimu? Unaweza kuwa ulikaa darasani lakini hujaelimika, nami na kushauri hujachelewa pia, hebu niwekee CV yako nione ntakusaidiaje.
Komba huyuhuyu bwana'ake Lulu ndie anayemdiss Jaji Warioba!!!
Warioba huyu huyu mnywa gongo?
Kibe
1. warioba ni raiay wa Tanzania
2. ameishawahi kuwa waziri mkuu n.k, so ni mmoja wa fathers of this Nation,(kubali kataa)
3. Hoja za warioba zina mashiko na lazima uwe punguani kubishana naye japo kiduchu
4. Warioba kama mzalendo wa kweli hatakaa kimya, hata akifa ataendelea kusema tu, kama ilivyo kwa Nyerere
The best way ku deal na warioba ni kufumba macho na kuamua mambo yenu huko, pasi kumhusisha; ukija kama hivi ulivyokuja utaona kabisa unavyoona aibu
Kizazi cha sasa cha CCM ni kizazi kijinga kabisa kupata kutokea katika historia ya nchi hii.
We hujui historia. Uliza Gobarchov alivyotumika kuivunja USSR, acha kunywa viroba kutwa kucha.
ivi komba anaweza kumfundisha chochote genious warioba kweli..?
Kwanza nitoe pongezi kwa mh.john komba kwa kusema kwa uwazi bila soni kuhusu huyu babu warioba, warioba alipewa heshima kubwa kuwa mwkt wa tume.na muda wote wa kazi yake alikuwa anasisitiza aachwe huru afanye kazi asiingiliwe. Namuliza huyu mzee ana lengo gani kazi yake imeisha ipo kwa ngazi nyingine ye kamaliza na aliachwa huru.nini kinamwasha huyu mzee kutwa yuko mikutano hadi anadiriki kusema atapambana mtaani na wajumbe wa bmk . Mzee wewe unamalengo gani hasa au sbb uliyoyapika wameyatoa. Mzee tulia upumzike zama zako zimepita,acha tuvurugia nchi yetu
Haya, we mwenye digrii ya HIV COUNSELLING, subiri dawa zipatikane kama hukuokota makopo mjini. Msomi gani usiejitambua!