Kwanza nitoe pongezi kwa mh.John Komba kwa kusema kwa uwazi bila soni kuhusu huyu babu Warioba. Warioba alipewa heshima kubwa kuwa Mwenyekiti wa tume.na muda wote wa kazi yake alikuwa anasisitiza aachwe huru afanye kazi asiingiliwe.
Namuliza huyu mzee ana lengo gani kazi yake imeisha ipo kwa ngazi nyingine yeye kamaliza na aliachwa huru. Nini kinamwasha huyu mzee kutwa yuko mikutano hadi anadiriki kusema atapambana mtaani na wajumbe wa Bunge maalumu la katiba?
Mzee wewe unamalengo gani hasa au sababu uliyoyapika wameyatoa. Mzee tulia upumzike zama zako zimepita, acha tuvurugia nchi yetu.