Mzee Warioba kinacho kuwasha ni nini ?

Mzee Warioba kinacho kuwasha ni nini ?

kibe

1. Warioba ni raia wa tanzania
2. Ameishawahi kuwa waziri mkuu n.k, so ni mmoja wa fathers of this nation,(kubali kataa)
3. Hoja za warioba zina mashiko na lazima uwe punguani kubishana naye japo kiduchu
4. Warioba kama mzalendo wa kweli hatakaa kimya, hata akifa ataendelea kusema tu, kama ilivyo kwa nyerere

the best way ku deal na warioba ni kufumba macho na kuamua mambo yenu huko, pasi kumhusisha; ukija kama hivi ulivyokuja utaona kabisa unavyoona aibu

kizazi cha sasa cha ccm ni kizazi kijinga kabisa kupata kutokea katika historia ya nchi hii.

umemaliza mkuu sina cha kuongezea kula like
 
Mleta thread kuku, ccm kuku, bmk genge la majambaz, komba bata mzinga, 6 ni kuwadi na warioba ni JIWE WALILOLIKATA WAASHI LITAKUWA JIWE KUU LA KUWAMALIZA.

Hiv ww komba unawashwa nn hd kumtusi mzee wetu, unadhani hyo racm ya chama cha majambaz itapita ...mat..ko kweli.
 
Ninachomkubali Warioba anajitambua anachofanya na alichofanya.Ndio maana anajitahidi sana kujadili katiba wala sio mtu, watu au chama.
 
Aende zake huko huyo warioba, atakuwa katumwa na cia kusambaratisha muungano.

Hoja hujibiwa kwa hoja. Hoja yako ni ipi? Unajuaje kuwa katumwa na cia.
Wewe unayeng'ang'ania serikali 2 huenda ndiyo umetumwa na cia.
 
Mkuu kibe warioba katoa maoni yake na mtaani kamaanisha kwenye kura za maoni kwa wananchi huku usiwe mshabiki sana bila kuangalia uhalisia kama suala la serikali tatu sawa ila vipengele vya msingi,kama,madaraka ya wananchi,ubunge kua na kikomo,mbunge kutokua waziri hauoni hivyo ni vitu vya msingi ambavyo wananchi tulivitolea maoni kwa nguvu
 
Hata kama serikali tatu imefutwa hivyo vitu vya msingi vingeachwa angalau kidogo wananchi wangeweza kua na aman kwa kiasi au umefurahia wabunge kuendelea kua masultan katika majimbo yao
 
Watanzani wanadai maoni yao yamepuuzwa. Warioba ni mtu wa karibu sana anayeweza kutetea watanziania.
 
Tz tunasafari ndefu sana, zama hizi bado kuna watu majuha ya akili kama kina KIBE?? Mungu wangu , mungu wangu mbona umetuwacha??
 
Kwanza nitoe pongezi kwa mh.john komba kwa kusema kwa uwazi bila soni kuhusu huyu babu warioba, warioba alipewa heshima kubwa kuwa mwkt wa tume.na muda wote wa kazi yake alikuwa anasisitiza aachwe huru afanye kazi asiingiliwe.

Namuliza huyu mzee ana lengo gani kazi yake imeisha ipo kwa ngazi nyingine ye kamaliza na aliachwa huru. nini kinamwasha huyu mzee kutwa yuko mikutano hadi anadiriki kusema atapambana mtaani na wajumbe wa BMK . Mzee wewe unamalengo gani hasa au sbb uliyoyapika wameyatoa. Mzee tulia upumzike zama zako zimepita,acha tuvurugia nchi yetu

Wazee kama hawa wakati was Iddi Amini wangepakiwa kwenye lory na kumwagwa MTO kagera waliwe na Mamba, atulie huyu akitaka heshima, LA sivyo tumtangaze kama Janga kwa Taifa
 
Haya ni matusi tena makubwa huwezi kumuuliza Warioba Swali la kipuuzi hivyo. CCM ndio mnaowashwa mara hatutaki katiba, mara tutaandika katiba mpya. Pumbafu kabisa
 
Kwanza nitoe pongezi kwa mh.john komba kwa kusema kwa uwazi bila soni kuhusu huyu babu warioba, warioba alipewa heshima kubwa kuwa mwkt wa tume.na muda wote wa kazi yake alikuwa anasisitiza aachwe huru afanye kazi asiingiliwe.

Namuliza huyu mzee ana lengo gani kazi yake imeisha ipo kwa ngazi nyingine ye kamaliza na aliachwa huru. nini kinamwasha huyu mzee kutwa yuko mikutano hadi anadiriki kusema atapambana mtaani na wajumbe wa BMK . Mzee wewe unamalengo gani hasa au sbb uliyoyapika wameyatoa. Mzee tulia upumzike zama zako zimepita,acha tuvurugia nchi yetu
wewe na huyo komba wako ni vinyesi tu mbele ya jaji Warioba.
 
Kwanza nitoe pongezi kwa mh.john komba kwa kusema kwa uwazi bila soni kuhusu huyu babu warioba, warioba alipewa heshima kubwa kuwa mwkt wa tume.na muda wote wa kazi yake alikuwa anasisitiza aachwe huru afanye kazi asiingiliwe.

Namuliza huyu mzee ana lengo gani kazi yake imeisha ipo kwa ngazi nyingine ye kamaliza na aliachwa huru. nini kinamwasha huyu mzee kutwa yuko mikutano hadi anadiriki kusema atapambana mtaani na wajumbe wa BMK . Mzee wewe unamalengo gani hasa au sbb uliyoyapika wameyatoa. Mzee tulia upumzike zama zako zimepita,acha tuvurugia nchi yetu
yaani watu kama ninyi, bila shaka utakuwa ni mbunge wa mbinga kepteni komba. akili zenu ni ndogo sana na bahati mbaya hata shule hamkwenda. Tanzania ya miaka ile si kama hii ya sasa, manipulation kwa wananchi siku hizi yamepitwa na wakati kwani mizani ipo mikononi mwa wananchi wenyewe. ccm mmekula hii nchi, kilichobaki ni matumbo yenu tu yaliyojaa chakula cha nzi(ishakumsimatusi) humo tumboni mmejaza nini kama sio nya? hukumu yenu imekaribia, na mwakani mtajua kuwa ujinga wenu tumeuchoka.
 
Kwanza nitoe pongezi kwa mh.john komba kwa kusema kwa uwazi bila soni kuhusu huyu babu warioba, warioba alipewa heshima kubwa kuwa mwkt wa tume.na muda wote wa kazi yake alikuwa anasisitiza aachwe huru afanye kazi asiingiliwe.

Namuliza huyu mzee ana lengo gani kazi yake imeisha ipo kwa ngazi nyingine ye kamaliza na aliachwa huru. nini kinamwasha huyu mzee kutwa yuko mikutano hadi anadiriki kusema atapambana mtaani na wajumbe wa BMK . Mzee wewe unamalengo gani hasa au sbb uliyoyapika wameyatoa. Mzee tulia upumzike zama zako zimepita,acha tuvurugia nchi yetu

Mke wa Komba naona unataka kuolewa na Warioba
 
Hivi KIBE unaweza kumuuliza baba yako kama anawashwa.....?Kwa kijana yeyote wa Kitanzania tunayo njia sahihi ya kuzungumza au hata kumzungumzia mtu aliye kuzidi umri.Pengine ulikuwa na hoja sahihi ya kuleta jukwaani,lakini kweli kumtusi mzee mwenye umri dahari dhidi yako ni sahihi hivyo?kweli CCM sasa imewafanya kuwa na bongo za kuku......Kumbuka na matusi yote mtakayomtukana na waiba kwaya wenzako kina komba....Kuna jamii ya Watanganyika wapo nyuma ya huyu mzee.....
 
Last edited by a moderator:
Anaweza!!!!kukatika sindimba na kutokomea porini,chezeya KOMBA mwiko wewe!!
Ni kweli mkuu maana hapo ni watu wawili tofauti mmoja mwanasheria mwenye uwezo mkubwa na uzoefu wa kutosha, pia mtu ambaye alishakuwa mwanasheria mkuu, waziri mkuu vs komba ambaye alikua akiinba nyimbo za kumsifu warioba na wenzake wakiwa ofisini..watu wanashidwa kuona hiyo tofauti mkuu..
 
Watanzani wanadai maoni yao yamepuuzwa. Warioba ni mtu wa karibu sana anayeweza kutetea watanziania.
Kwani UKAWA ni watanzania au watanganyika?!!? sisi wstanzania wala hatuna mgogoro na kinachoendelea dodoma. Tumebariki na kuridhia BMK. Nyie watanganyika endeleeni KUTANGA na NYIKA hadi hakuna rangi mtaacha ona.......
 
Back
Top Bottom