Mzee Warioba ana hoja au viroja?

Mzee Warioba ana hoja au viroja?

wewe ni zumbukuku hujui kipindi cha Nyerere kulikuwa na chama kimoja, Sasaivi hii katiba haifai sababu tumeshatoka kwenye chama kimoja.
Wacha uongo, Nyerere na Warioba walikuwepo wakati Katiba hii inarekebishwa ili kuruhusu vyama vingi Tanzania. Mbona Warioba alikuwa kimya wakati Katiba inabadilishwa na kuwa ya vyama vingi? Mzee huyu hata ukimpiga kofi dogo kwenye funda zake utakuwa hujakosea sana.
 
Acha upotosha usio na tija. Warioba alikuwa mwenyekiti wa tume ya kukusanya maoni ya wananchi, na alicholeta ni maoni ya wananchi na sio mtazamo wake. Ifahamike katiba si utashi wa viongozi, bali ni matakwa ya wananchi.

Kama muungano wananchi hawautaki huo ndio uhalisia. Vinginevyo toeni sababu za msingi za uwepo wake kwa wananchi, na sio viongozi kushurutisha uwepo wakati una mapungufu ya wazi, tena yasiyotatuliwa.
Huo ndio uzumbukuku wenu ulivyo. Miungano yote duniani inalindwa kwa mitutu ya bunduki na katiba. Kule marekani kuna watu na majimbo hawapendi namna muungano ulivyo lakini hawaruhusiwi kwenda hewani. Kule Uingereza, Ireland kuna watu hawapendi muungano wao na England lakini hawaruhusiwi kujitoa. Kule Uhispania wale watu wa Catalunya (island) hawependi muungano na mainland lakini walinyamazishwa kwa nguvu. Kule China Hong Kong, Taiwan na Tibet hawataki muungano na China mainland lakini wanakataliwa kujitenga kwa nguvu. Morocco hivyohivyo. Kwanini unadhani Tz ni tofauti?
 
Kama watu waliokufa October 29 basi ni wale walioua polisi na kuchoma miundombinu yetu na mali watu binafsi. Kama umechoma ofisi ya kata na serikali ya mtaa kwanini usife?. Kwanini usife wakati wewe ulitaka kuipindua serikali? Hebu acheni upuuzi wenu huu. Wewe ni nani hadi uchome vituo vya mwendokasi tunavyotumia sisi wanyonge kusafiria jijini kutafuta riziki zetu. Kwanini hasira hizo usizipeleke kwa mama yako umlazimishe akupikie roshoro kwa nguvu?.

Watu wa aina hii huwa wanauawa duniani kote. Hebu nenda kamrushie jiwe askari wa Marekani uone kama utakuwa hai. Tz hakuna mazuzu kama Kenya. Kule Kenya wenye akili safi wote wamenyakuliwa hawapo, ni manamba (cheap labors) huko Ulaya na uarabuni.
Mnashindwa kukamata watekaji mnapambana kuua wananchi kisa wanadai haki?
 
Huo ndio uzumbukuku wenu ulivyo. Miungano yote duniani inalindwa kwa mitutu ya bunduki na katiba. Kule marekani kuna watu na majimbo hawapendi namna muungano ulivyo lakini hawaruhusiwi kwenda hewani. Kule Uingereza, Ireland kuna watu hawapendi muungano wao na England lakini hawaruhusiwi kujitoa. Kule Uhispania wale watu wa Catalunya (island) hawependi muungano na mainland lakini walinyamazishwa kwa nguvu. Kule China Hong Kong, Taiwan na Tibet hawataki muungano na China mainland lakini wanakataliwa kujitenga kwa nguvu. Morocco hivyohivyo. Kwanini unadhani Tz ni tofauti?
Unaijua USSR, Unaijua West German na East German, unaijua Ethiopia na Eritrea, hiyo ni mifano michache. Matakwa ya wananchi ni muhimu. Kipi unashangaa kwenye hili?
 
Warioba alikuwepo wakati wa utawala wa Kikwete na Magufuli mbona hakuwalazimisha waandike Katiba mpya?.
Wewe is kumbukumbu ndogo Sana.
Warioba kapata umaarufu zaidi wakati wa Kikwete sababu ya tume ya kukusanya maoni ya katiba mpya yeye akiwa mwenyekiti.
Tume ilitambulika maarufu Kama TUME YA WARIOBA.
Hapo alipata umaarufu kuliko wakati alipokuwa Waziri mkuu.
 
Wewe jiite ni mpumba.vu wa kiwango cha pekee ulimwenguni kwa kuwa umekosa akili halafu hata ile kujua kuwa huna akili ya kutosha hata kufikia kiwango cha chini cha akili ya mwanadamu wa akili ya kawaida, nayo umeikosa.

1. Hujui hata katiba ya nchi inaandikwaje! Unafikiri katiba inaandikwa kama hii riwaya upuuzi ulioiweka hapa. Warioba pekee anaawezaje kuandika katiba?

2. Huna hata akili ya kumbukumbu. Ungekuwa na akili ya kukumbuka, ungefahamu kuwa mwalimu Nyerere alitamka kuwa katiba ya Tanzania inamfanya Rais kuwa dikteta, inategemea zaidi hekima ya Rais aliyepo. Akasema kuwa ikitokea nchi ikampata Rais asiye na busara, wananchi watajuta kwani kwa katiba iliyopo hakuna namna ya kumdhibiti Rais huyo asiye na busara. Na hili watanzania wanalishuhudia sasa. Kama Nyerere alisema hivyo, ulitaka yeye ndiye achukue kalamu aanze kuandika?
Sio kweli, wewe umepita kwenye upumbavu sasa ni mpumbuvu. Nyerere hata baada ya kutoka madarakani bado alikuwa na nguvu nyingi sana. kama angetaka katiba mpya ingeandikwa vile angependa iandikwe. Tume ile ya kutafuta maoni ya ama kuruhusu vyama vingi au la ilisema wananchi 80% walikataa ujio wa mfumo wa vyama vingi, na 20% ndio waliotaka vyama vingi, lakini Nyerere ndiye aliyesema wengi wapewe lakini wachache wasikilizwe pia. Mfumo wa vyama vingi ulikubalika kwa maoni ya watu wachache 20% waliobebwa na Nyerere.

Kama Samia anataka kuona timbwilitimbwili la wahuni kutoka bara na visiwani hebu aanzishe mchake wa kuandika katiba mpya. lazima mchakato utampalia tu.
 
Naona wewe ndio huyo hapo mlangoni wakati huo Daudi Albert Bashite (DAB) kwa sasa hivi anatembelea majina ya fojari km Paulo Christian Makonda kashampiga kofi Mzee Warioba na kuzuiwa asifanye hivyo na wana usalama wewe ulikua mlango hapo unawahi umtie mangumi...View attachment 3517057
Mzee hana akili kabisa. Yeye alishawahi kuwa mwanasheria Mkuu wa serikali na Waziri mkuu wa nchi lakini hansadi hazionyeshi kuwa aliwahi kushauri uandishi wa katiba ambayo hamfanyi Rais kuwa dikteta. Leo anataka kumtoa Samia kwa nguvu, Rais ambaye sio dikteta; anaesambaza huduma kwa wananchi wake. Ameshindwa kumtoa Rais dikteta ka Mkapa na Magufuli. Anayo ajenda nyingine bhana.
 
Chawa anajua baada ya katiba mpya basi uchawa unakufa hapo.unaishi kwa ujanjaja.fanyakazi ndgu.
 
Mzee hana akili kabisa. Yeye alishawahi kuwa mwanasheria Mkuu wa serikali na Waziri mkuu wa nchi lakini hansadi hazionyeshi kuwa aliwahi kushauri uandishi wa katiba ambayo hamfanyi Rais kuwa dikteta. Leo anataka kumtoa Samia kwa nguvu, Rais ambaye sio dikteta; anaesambaza huduma kwa wananchi wake. Ameshindwa kumtoa Rais dikteta ka Mkapa na Magufuli. Anayo ajenda nyingine bhana.
Mchakato wa Katiba ulianzia kwa JK tena mwishoni mwishoni mwa enzi za Mkapa alipoingia JK ndio pakafukuta ikaja Rasimu ya Katiba ya Wananchi iliyosimamiwa na Jaji Warioba yeye ndio alipita kwa Wananchi kukusanya maoni yao baada ya hapo akaenda kukabidhi sasa Serikali ikaichukua ile Rasimu ikaifanyia ushenzi kisha ikaweka ya kwake na yale wanayoyataka wananchi ikayaondoa kisha ikasema hii ndio iwe katiba na mchezo ukaishia hapo kwamba haitaki wananchi wanachokitaka ndio unamaanisha hivyo au wewe ule mchakato wa kupata Rasimu ulikua bado hujazaliwa?
 
Yaani wahuni akina Warioba wanaibua madai ya katiba wakati wa marais waislamu tu, sijui wanawaaonaje, maboya?

Wahuni walikuwa kimya wakati wa Nyerere, ilipofika wakati wa Mwinyi wakazuka akina Warioba na G55 group la Njelu Kasaka kudai Tanganyika. Wakaa kimya wakati wa Mkapa, wakaibuka wakati wa Jakaya. Wakakaa kimya wakati wa Magufuli wakaamkia kwa SAMIA. Ni walewale wa siku zote. Samia amka, ni mtego huo.
 
Yaani wahuni akina Warioba wanaibua madai ya katiba wakati wa marais waislamu tu, sijui wanawaaonaje, maboya?

Wahuni walikuwa kimya wakati wa Nyerere, ilipofika wakati wa Mwinyi wakazuka akina Warioba na G55 group kudai Tanganyika. Wakaa kimya wakati wa Mkapa, wakaibuka wakati wa Jakaya. Wakakaa kimya wakati wa Magufuli wakaamkia wakati wa SAMIA. Ni walewale wa siku zote. Samia amka, ni mtego huo.
Malizia hio Mbege Mrema giza linakaribia kuingia...
 
Mzee Warioba mimi namuona kama Mzee mnafiki mkubwa anaetaka kurekebisha makosa yake kupitia Samia, Rais mwanamke mzanzibari. Kuna wakati namuona kama mzee ambae watu fulani wanamtumia vibaya kutaka kufanikisha agenda zao.

Mzee Warioba anaonekana amepiga U-turn kutoka kwenye mrengo wa Ujamaa wa nchi za mashariki kwenda kwenye mrengo wa ubepari wa nchi za magharibi. Hapendi tena demokrasia za China, Urusi, Cuba, Hungary na Korea Kaskazini bali anataka demokrasia za Magharibi sawa na akina Lissu na Kambona Oscar.

Mwaka 1977 wakati katiba hii inaandikwa yeye alikuwa wapi?

Wakati Nyerere anaitumia Katiba hii ya kijamaa na yeye kuwa Waziri Mkuu hakuiona hii Katiba?

Nyerere na Warioba walikuwepo wakati Rais Mwinyi na Mkapa wanatumia katiba hii mbona wote hawakushauri iandikwe katiba mpya ili kuingiza hayo anayotaka yawemo kenye Katiba?

Warioba alikuwepo wakati wa utawala wa Kikwete na Magufuli mbona hakuwalazimisha waandike Katiba mpya?.

Rais Magufuli alitamka wazi kuwa hataandika katiba mpya kwakuwa hakuahidi kuandika Katiba mpya wakati wa kampeni zake za urais, alimfanya nini?.

Angekuwa mimi ndiye Rais Samia ningeacha kuandika Katiba mpya kama vile walivyoshindwa/walivyoacha kuiandika akina Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Maguli. Sababu kubwa zilizowafanya Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na magufuli kuacha kuandika katiba mpya ni moja tu, nayo ni hofu ya kuuvunja Muungano. Mama Samia asiipuuze hofu hii pia, ni kubwa na ipo dhahiri. Huyu Warioba tofauti na Nyerere, yeye anataka serikali tatu. Aliogopa kumshauri Nyerere, Mkapa na Magufuli lakini sasa anaona kuwa ni rahisi sana kwa Samia.

Aogopwe kama ukoma.
Huu ni uharo tu umeandika, kwa kusahihisha makosa wewe unaona ni kioja?
 
Kaka hacha kumuukumu Mzee wa Watu, Tanzania ni kubwa kuliko uyo Mzee..kumbuka lawama zako zote unazomtwisha uyo Mzee hata Babako pia anastaili...
Ok nakuja Sasa.
Hujui kwamba mabadiliko ya Katiba yanatokana na takwa za Wananchi...na hizo takwa za Wananchi zinabadilika kulingana na nyakati...apo Nyuma enzi ya Chama kimoja yawezekana Katiba iliyokuwepo kipindi kile ilikuwa ni the best sana kulingana na takwa la wakati uwo, lkn kadri ya siku zinavyosonga na miaka inaenda ..sambamba na ukuaji wa kiuchumi na technologia...mambo mengi yanabadilika kwa mfano mfumo wa vyama vingi inaitaji sana mabadiliko ya Katiba kusudi kuendane na nyakati za Sasa....
Mzee ni kwamba aliona alikotoka na tunakoelekea akasema tunapaswa kuenda na Katiba ya Sasa waliyoweza kukusanya maoni kutoka kwa Wananchi ndo inayotufaa...kwa ufupi yeye siyo decision maker Bali ni mshauri tu.
Tumwache Mzee wa Watu apumzike...tukitaka kuchukua ushauri wake sawa,tukiacha sawa tu.
 
Back
Top Bottom