Mzee Warioba ana hoja au viroja?

Mzee Warioba ana hoja au viroja?

Hoja za Bi Mwenda sasa.

1.Waandamanaji hawakuwa raia wa watanzania bali nchi jirani [November 3, 2025]

2.Waandamanaji walifuata mkumbo sijui wanapigania haki gani [November 12,2025]

3.Waandamanaji ni vijana waliolipwa kuandamana [December 2 , 2025]

Haya ndio matokeo ya mtu wa mafunzo mbalimbali ambaye mleta mada anataka kutuaminisha ni bora kuliko Warioba na reputation aliyoitengeneza miaka mingi.
 
Naona wewe ndio huyo hapo mlangoni wakati huo Daudi Albert Bashite (DAB) kwa sasa hivi anatembelea majina ya fojari km Paulo Christian Makonda kashampiga kofi Mzee Warioba na kuzuiwa asifanye hivyo na wana usalama wewe ulikua mlango hapo unawahi umtie mangumi...View attachment 3517057
Hii ilikua wapii??
 
Mzee Warioba mimi namuona kama Mzee mnafiki mkubwa anaetaka kurekebisha makosa yake kupitia Samia, Rais mwanamke mzanzibari. Kuna wakati namuona kama mzee ambae watu fulani wanamtumia vibaya kutaka kufanikisha agenda zao.

Mzee Warioba anaonekana amepiga U-turn kutoka kwenye mrengo wa Ujamaa wa nchi za mashariki kwenda kwenye mrengo wa ubepari wa nchi za magharibi. Hapendi tena demokrasia za China, Urusi, Cuba, Hungary na Korea Kaskazini bali anataka demokrasia za Magharibi sawa na akina Lissu na Kambona Oscar.

Mwaka 1977 wakati katiba hii inaandikwa yeye alikuwa wapi?

Wakati Nyerere anaitumia Katiba hii ya kijamaa na yeye kuwa Waziri Mkuu hakuiona hii Katiba?

Nyerere na Warioba walikuwepo wakati Rais Mwinyi na Mkapa wanatumia katiba hii mbona wote hawakushauri iandikwe katiba mpya ili kuingiza hayo anayotaka yawemo kenye Katiba?

Warioba alikuwepo wakati wa utawala wa Kikwete na Magufuli mbona hakuwalazimisha waandike Katiba mpya?.

Rais Magufuli alitamka wazi kuwa hataandika katiba mpya kwakuwa hakuahidi kuandika Katiba mpya wakati wa kampeni zake za urais, alimfanya nini?.

Angekuwa mimi ndiye Rais Samia ningeacha kuandika Katiba mpya kama vile walivyoshindwa/walivyoacha kuiandika akina Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Maguli. Sababu kubwa zilizowafanya Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na magufuli kuacha kuandika katiba mpya ni moja tu, nayo ni hofu ya kuuvunja Muungano. Mama Samia asiipuuze hofu hii pia, ni kubwa na ipo dhahiri. Huyu Warioba tofauti na Nyerere, yeye anataka serikali tatu. Aliogopa kumshauri Nyerere, Mkapa na Magufuli lakini sasa anaona kuwa ni rahisi sana kwa Samia.

Aogopwe kama ukoma.
stori ilivyoanza na neno Mzanzibari......nikapatwa na kichefuchefu... hata sjsimalizia.
inahitaji kuwa mjinga sana kuweza kuisoma stori kama hii
 
Katiba ya zaman ilikidhi nyakat za zaman kipind cha zidumu fikra za mwenyekit na sasa ni tofaut sanaaa
 
Hoja za Bi Mwenda sasa.

1.Waandamanaji hawakuwa raia wa watanzania bali nchi jirani [November 3, 2025]

2.Waandamanaji walifuata mkumbo sijui wanapigania haki gani [November 12,2025]

3.Waandamanaji ni vijana waliolipwa kuandamana [December 2 , 2025]

Haya ndio matokeo ya mtu wa mafunzo mbalimbali ambaye mleta mada anataka kutuaminisha ni bora kuliko Warioba na reputation aliyoitengeneza miaka mingi.
View attachment 3517801
Kuna tatizo hapa, nyie wakuuu mnaona kweli?
 
Mnaotaka uhuru wa habari na demokrasia lakini hamuwezi vumilia wengine kutoa maoni Yao, wewe na wenzio ni vinyeo
Mnatoa maoni kwenye jukwaa mlilolifungia lisipatikane nchini kwenu.

Nyinyi jamaa vichwa vywenu vina mavi na sio akili.
 
Back
Top Bottom