Hapo ni wapi ndugu maanake sielewi hicho ni nn?..... Hiyo inaonyesha ni jinsi gani tz tupo very local.
Hapo ni wapi ndugu maanake sielewi hicho ni nn?..... Hiyo inaonyesha ni jinsi gani tz tupo very local.
Ni ujiko tu wa urais ili katika mizunguko yake huko ajulikane ni Rais.Maana huyo jamaa mavazi yake ni hayo hayo all the time hapo nyuma ya JK na yeye akiwa amepiga suti.Marais wa nchi zilizoendelea hawana huu ujinga.Mi ananichosha huyu mwanajeshi anayetembea naye kila sehemu kuna umuhimu gani wa raisi kuwa na mgambo kwanini wasifuate mfumo wa nchi zilizoendelea?!!
kwenye nchi ambazo hazina amani huwa rais lazima atembee na aina zote za ulinzi kama hii, JWTZ, polisi, FFU, mgambo, TIS na green guard! Kweli Tanzania hakuna amani.