Mzee wa Kaya sikuhizi anatembea na wazee wa kazi (FFU)

i411

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
906
291
mzee wakaya kaamua kujiandaa na fujo za wamchadema zisimpate sasa yeye anaambatana na ffu kazi kweli kweli. Jamaa wenyewe wapo relax hawana hata virungu kweli bongo tambarare.
1.....jpg

mg4.jpg
 
Hapo ni wapi ndugu maanake sielewi hicho ni nn?..... Hiyo inaonyesha ni jinsi gani tz tupo very local.
 
Siku hizi???
Mbona siku zote wapo hao na ni sehemu muhimu ya msafara wake? Akiwa katika mazingira hayo ya "field" au kwenye "mikutano ya hadhara" licha ya ulinzi wa msafara wanafanya pia kazi ya "crowd control".
 
Yule anaeambatana nae peke yake hamtoshi mpaka wenye kofia za chuma nao wamo,lol
 
Mi ananichosha huyu mwanajeshi anayetembea naye kila sehemu kuna umuhimu gani wa raisi kuwa na mgambo kwanini wasifuate mfumo wa nchi zilizoendelea?!! :(
Ni ujiko tu wa urais ili katika mizunguko yake huko ajulikane ni Rais.Maana huyo jamaa mavazi yake ni hayo hayo all the time hapo nyuma ya JK na yeye akiwa amepiga suti.Marais wa nchi zilizoendelea hawana huu ujinga.
 
kwenye nchi ambazo hazina amani huwa rais lazima atembee na aina zote za ulinzi kama hii, JWTZ, polisi, FFU, mgambo, TIS na green guard! Kweli Tanzania hakuna amani.
 
kwenye nchi ambazo hazina amani huwa rais lazima atembee na aina zote za ulinzi kama hii, JWTZ, polisi, FFU, mgambo, TIS na green guard! Kweli Tanzania hakuna amani.

Mkuu Naomba nisahihishe, naona ni nchi zenye dhuluma, halafu umesahahu ulinzi wa sheikh Yahya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom