Mzee Sumaye: Kuelekea uchaguzi mkuu wapinzani wanapaswa kuwa wavumilivu amani ikitoweka wote tutavurugikiwa

Waziri mkuu mstaafu mzee Sumaye ameviasa vyama vya siasa na hasa vya upinzani kuwa na uvumilivu tunapoelekea kwenye uchaguzi mkuu ili kuilinda amani yetu.

Sumaye amewaasa viongozi wa vyama vya siasa kukumbuka kuwa nchi iliyovurugwa na amani kupotea huwa haitawaliki.
Kwahiyo pasipo na amani sote tutavurugikiwa pasipo kujali itikadi na hata hao wapinzani wakishinda wakati amani imetoweka watatawalaje?....ameuliza Sumaye

Mzee Sumaye alikuwa akihojiwa katika kipindi kilichorushwa na Star tv.

Source: Star tv

Maendeleo hayana vyama!
Mie huwa sielewi,why wapinzani tu kila mara ndo watakiwe kuwa wavumilivu? na huo uvumilivu ni dhidi ya nani?
 
Waziri mkuu mstaafu mzee Sumaye ameviasa vyama vya siasa na hasa vya upinzani kuwa na uvumilivu tunapoelekea kwenye uchaguzi mkuu ili kuilinda amani yetu.

Sumaye amewaasa viongozi wa vyama vya siasa kukumbuka kuwa nchi iliyovurugwa na amani kupotea huwa haitawaliki.
Kwahiyo pasipo na amani sote tutavurugikiwa pasipo kujali itikadi na hata hao wapinzani wakishinda wakati amani imetoweka watatawalaje?....ameuliza Sumaye

Mzee Sumaye alikuwa akihojiwa katika kipindi kilichorushwa na Star tv.

Source: Star tv

Maendeleo hayana vyama!
Watu tunataka amani itoweke ili wote tukiona tunaweza, kuharibikiwa then tutaanza kuheshimiana going forward na huu ujinga wa mlikosea kuchagua hutauona tena
 
Wavumilie muda wao wa kutawala bado maana hawana jipya zaidi ya ku copy na ku paste kutoka chama tawala.

Niambie lini wapinzani walisimamisha mgombea awe rais au ubunge hana chembe chembe za chama tawala?
Kwani wewe unadhani upinzani ni nini?
 
Waziri mkuu mstaafu mzee Sumaye ameviasa vyama vya siasa na hasa vya upinzani kuwa na uvumilivu tunapoelekea kwenye uchaguzi mkuu ili kuilinda amani yetu.

Sumaye amewaasa viongozi wa vyama vya siasa kukumbuka kuwa nchi iliyovurugwa na amani kupotea huwa haitawaliki.
Kwahiyo pasipo na amani sote tutavurugikiwa pasipo kujali itikadi na hata hao wapinzani wakishinda wakati amani imetoweka watatawalaje?....ameuliza Sumaye

Mzee Sumaye alikuwa akihojiwa katika kipindi kilichorushwa na Star tv.

Source: Star tv

Maendeleo hayana vyama!
Pale ambapo asiyejua nini maana ya uvumilivu anashauri watu uvumilivu, alikua CCM akishindwa kuvumilia akaondoka, Chadema uvumilivu umemshinda Leo anafundisha watu uvumilivu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom