Mzee Sitta hiyo ndiyo CCM, nenda mahakamani

Mzee Sitta hiyo ndiyo CCM, nenda mahakamani

Hatimae yametimia Mzee Mashuhuri Bw.Samwel Sitta kwa Mara nyingine tena CCM imemwona hana maadili Na kumkatilia mbali Na kumwondoa katika kuwania Uspika Wa Bunge. Tunachukua nafasi hii kumkumbusha Kauli yake kuwa "Akikatwa Anaenda Mahakamani" hivyo tunamsubiri akafungue kesi. Pia tunapenda kumkumbusha Mzee wetu hiyo ndio CCM.

Karibu viongozi wengi waandamizi wa ccm wako chini ya miaka sitini, hivyo ccm inajipanga kwa 2020, mzee sitta by 2020 atakuwa mtu mzima sidhani kama ataiweza mikiki mikiki ya kisiasa.

wakati akiwa spika wa bunge niliwahi kulalamikia mgongano wa kimaslahi kuwa wakati yeye ni spika mke wake alikuwa mbunge na waziri wa elimu yaani baba mtu anatunga sharia anampa mkewe kuzitekeleza hapa nililiona halijakaa sawa, naimani wazee wa chama wamelizingatia hili wakati mkewe ni mbunge waiwezekani yeye akawa spika wa bunge hiyo tunaita "nepotism"

lipo pia tatizo la ukichwa ngumu wa huyu kaka yangu, mfano zile fedha za wabunge waliosusa badala ya kuzirudisha hazina yeye alizitapanya jambo lililoleta mkanganyiko wa kimaadili na nidhani ya fedha.

pia yeye ndo aliyebadili bunge na kuwa genge la biashara kwa kuongeza posho hovyo na za kufuru, wakati wake wa uspika ndipo alipoidhinisha maposho ya hovyo sana na kufikia hata wabunge wenyewe kuona sasa imezidi kipimo.
 
Nimefurahi sana huyu mzee kukatwa daaah, asante Mungu
 
Huyu Sita arudi Urambo kwa Wasomali wake wamlipe kifuta jasho chake kwa tule tu tender twa kujenga sitendi ya mabasi isio na kiwango pale Urambo.JIZEEE LIMEZEEKA MPAKA LINAKARIBIA KUKATA ROHO ETI BADO LIMO TU NA TAMAA YA MZEE FISI.
 
jamani tumezidi maneno kibao, watu wajitokeze huyu mzee apelekwe mahakamani kuna mambo mengi sana anayotakiwa kujibu, tunaomba watu wa dini waingie magotini huyu mzee aokote makopo haraka sana
 
Back
Top Bottom