Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,369
- 68,461
Mimi nitamsindikiza mahakamani
Sitta usikubali CCM wakudhalilishe ivi.Waburuze mahakamani wakufahamu wewe ni nani.
Hatimae yametimia Mzee Mashuhuri Bw.Samwel Sitta kwa Mara nyingine tena CCM imemwona hana maadili Na kumkatilia mbali Na kumwondoa katika kuwania Uspika Wa Bunge.Tunachukua nafasi hii kumkumbusha Kauli yake kuwa "Akikatwa Anaenda Mahakamani" hivyo tunamsubiri akafungue kesi.Pia tunampenda kumkumbusha Mzee wetu hiyo ndio CCM.
Nafikiri sasa hivi amejifungia sehemu na mwanasheria wanafanya drafting kesho wafanye filing mahakamani..
Zile fitna ulizomfanyia EL ukiwa spika.. Then ulivyofanya unafiki wa hali ya juu pale ulipoyatupilia mbali maoni ya wananchi kama yalivyopokelewa na tume Ya Warioba.. Hiyo dhambi na laana yake unayo mpaka kaburini.
Si unaona mwenyewe.. Urais chali.. Sass uspika chali..
Teh Teh.. Teh.. Teh
Umemsahau Wassira kule Bunda.HAHAHAAAA! Shida ya wazee ni kwamba uwezo wao wa kufikiria unapungua sana ila bila wao kujitambua.Malechela aliangushwa hivi hivi na Kibajaji bila kujijua ktk nafasi ya ubunge! Shame on u 6!
Naona Unatumia nguvu sanaa . kuchangia hii Thread hakuna asiyojua Juu ya Ushindi wa Magufuri. Kikubwa ni Kuwashukuru Wanachama na wafuasi wa Upinzani kwa Kulinda na ikudumisha Aman. Otherwise mambo yasingekuwa Mazuri.
Ccm walidhani Ukawa tu ndio wataisoma namba. Bado babalao Kikwete na Mkapa. Tingatinga( Jingajinga ) hana urafiki na mtu.