Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,875
CCM kinakomaa sasa na hakiangalii makunyanzi. Hata uwe nani kama hufai au umepitwa na wakati unakatwa tu. Safi sana!Hakuna fitina wala nini,hana sifa apumnzike tu

Hatimae yametimia Mzee Mashuhuri Bw.Samwel Sitta kwa Mara nyingine tena CCM imemwona hana maadili Na kumkatilia mbali Na kumwondoa katika kuwania Uspika Wa Bunge.Tunachukua nafasi hii kumkumbusha Kauli yake kuwa "Akikatwa Anaenda Mahakamani" hivyo tunamsubiri akafungue kesi.Pia tunampenda kumkumbusha Mzee wetu hiyo ndio CCM.

narudia tena ukoo wetu hauna wajinga
Hatimae yametimia Mzee Mashuhuri Bw.Samwel Sitta kwa Mara nyingine tena CCM imemwona hana maadili Na kumkatilia mbali Na kumwondoa katika kuwania Uspika Wa Bunge.Tunachukua nafasi hii kumkumbusha Kauli yake kuwa "Akikatwa Anaenda Mahakamani" hivyo tunamsubiri akafungue kesi.Pia tunampenda kumkumbusha Mzee wetu hiyo ndio CCM.
What is there to urgue? Mtu ameongea upuuzi halafu unataka kuurgue nini! Kila kitu kitakuwa wazi soon! Lowassa ni mcha Mungu and he will be rewarded! Hata kama ameshiriki kwenye ufisadi naamini ametubu na mungu wake amemsamehe! He put a nice fight out there na hata akifa leo atakufa akiwa bado kwenye mioyo na akili za mashabiki wake! Atakufa kishujaa! Sita atakufa as a loser! Bunge la katiba was his last bid to redeem himself, akawa na tamaa kama Manenge akidhani alitengeneza political capital ya kupitishwa kuwa raisi! Akachinjiwa mbali kama nguruwe, bado hakupata fundo, akarudi kugombea matapishi yake, wakampaka usoni his own puke! He is a loser na vitabu vitaandikwa na case studies zitafanywa kuonyesha mwanasiasa aliyedhani ana nguvu kuangushwa kama nazi bovu! I am very very happy kuona mfumo ambao hawa watu waliutetea akiwamo Sitta na Lowassa ukiwatafuna live! Nampongeza Lowassa kwa kuliona hilo na kujitambua! Nimependa pia vigor ya Lowassa kuwa kapoteza pambano na sio vita! Thats how you fight! Youl lose battle una retreat then unaengage!!!
CCM mbele kwa mbele!! Ha ha ha haaa!! Nazkumbuka fitna za sita dhid ya lowasa wakat akiwa wazr mkuu! Sita akiwa spika aliongoza fitna mpk mzee akalazmu kujiuzulu!!
Mola analipa hphp duniani!!!
Viva lowasaaaa!!!!!!!