Mzee Sitta hiyo ndiyo CCM, nenda mahakamani

isidingo 1961

Senior Member
Nov 9, 2015
106
13
Hatimae yametimia Mzee Mashuhuri Bw.Samwel Sitta kwa Mara nyingine tena CCM imemwona hana maadili Na kumkatilia mbali Na kumwondoa katika kuwania Uspika Wa Bunge. Tunachukua nafasi hii kumkumbusha Kauli yake kuwa "Akikatwa Anaenda Mahakamani" hivyo tunamsubiri akafungue kesi. Pia tunapenda kumkumbusha Mzee wetu hiyo ndio CCM.
 
CCM mbele kwa mbele!! Ha ha ha haaa!! Nazkumbuka fitna za sita dhid ya lowasa wakat akiwa wazr mkuu! Sita akiwa spika aliongoza fitna mpk mzee akalazmu kujiuzulu!!
Mola analipa hphp duniani!!!
Viva lowasaaaa!!!!!!!
 
Alituharibia katiba mpya hafi leo imekuwa kiini macho safi sana yaliyomkuta,
 
Nafikiri sasa hivi amejifungia sehemu na mwanasheria wanafanya drafting kesho wafanye filing mahakamani..
Zile fitna ulizomfanyia EL ukiwa spika.. Then ulivyofanya unafiki wa hali ya juu pale ulipoyatupilia mbali maoni ya wananchi kama yalivyopokelewa na tume Ya Warioba.. Hiyo dhambi na laana yake unayo mpaka kaburini.
Si unaona mwenyewe.. Urais chali.. Sass uspika chali..
Teh Teh.. Teh.. Teh
 
Watajibu kibao
Namchukia cta hata akifa nitaona kawaida tu mjinga mzee
 
Ccm walidhani Ukawa tu ndio wataisoma namba. Bado babalao Kikwete na Mkapa. Tingatinga( Jingajinga ) hana urafiki na mtu.
 
Naona aliyelipwa hapa hapa duniani zaidi ni Lowasa kwanza katoswa CCM baada ya kutumia mabilioni ya pesa na pia kutoswa na Watanzania baada ya kununua chama kwa mabilioni ya pesa na kufanya usanii wa aibu wa kutumia pesa kuweka mafuriko feki, kuwalipa watu wajifanye kuzimia kwa kukosa hewa sehemu iliyo wazi na kuwalipa wengine eti wasafishe bara bara gari yake ipite. Baada ya yote hayo wale waliolopwa pesa wakawa wa kwanza kumtosa Lowasa. Malipo ni hapa hapa duniani

CCM mbele kwa mbele!! Ha ha ha haaa!! Nazkumbuka fitna za sita dhid ya lowasa wakat akiwa wazr mkuu! Sita akiwa spika aliongoza fitna mpk mzee akalazmu kujiuzulu!!
Mola analipa hphp duniani!!!
Viva lowasaaaa!!!!!!!
 
tuliposema tunajenga ccm mpya ni pamoja na kuondoa hawa wazee ving'ang'anizi katika nafasi zote
 
Naona aliyelipwa hapa hapa duniani zaidi ni Lowasa kwanza katoswa CCM baada ya kutumia mabilioni ya pesa na pia kutoswa na Watanzania baada ya kununua chama kwa mabilioni ya pesa na kufanya usanii wa aibu wa kutumia pesa kuweka mafuriko feki, kuwalipa watu wajifanye kuzimia kwa kukosa hewa sehemu iliyo wazi na kuwalipa wengine eti wasafishe bara bara gari yake ipite. Baada ya yote hayo wale waliolopwa pesa wakawa wa kwanza kumtosa Lowasa. Malipo ni hapa hapa duniani
Wananchi wamempongeza Lowassa kwa kumpa asilimia 40 ya kura zote.Haijawahi kutokea Tanzania.2020 mziki utakuwa mnene zaidi.Dr.Lowassa ameonyesha njia.
 
Back
Top Bottom