Mzee Sitta hiyo ndiyo CCM, nenda mahakamani

Mzee Sitta hiyo ndiyo CCM, nenda mahakamani

hujamaliza na leo tena kakatwa kupitia jamaa ake kweny mbio za uspika
 
Naona aliyelipwa hapa hapa duniani zaidi ni Lowasa kwanza katoswa CCM baada ya kutumia mabilioni ya pesa na pia kutoswa na Watanzania baada ya kununua chama kwa mabilioni ya pesa na kufanya usanii wa aibu wa kutumia pesa kuweka mafuriko feki, kuwalipa watu wajifanye kuzimia kwa kukosa hewa sehemu iliyo wazi na kuwalipa wengine eti wasafishe bara bara gari yake ipite. Baada ya yote hayo wale waliolopwa pesa wakawa wa kwanza kumtosa Lowasa. Malipo ni hapa hapa duniani

Naona Unatumia nguvu sanaa . kuchangia hii Thread hakuna asiyojua Juu ya Ushindi wa Magufuri. Kikubwa ni Kuwashukuru Wanachama na wafuasi wa Upinzani kwa Kulinda na kudumisha Aman. Otherwise mambo yasingekuwa Mazuri.
 
Hatimae yametimia Mzee Mashuhuri Bw.Samwel Sitta kwa Mara nyingine tena CCM imemwona hana maadili Na kumkatilia mbali Na kumwondoa katika kuwania Uspika Wa Bunge.Tunachukua nafasi hii kumkumbusha Kauli yake kuwa "Akikatwa Anaenda Mahakamani" hivyo tunamsubiri akafungue kesi.Pia tunampenda kumkumbusha Mzee wetu hiyo ndio CCM.
Hakika utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana ! Malipo ni hapahapa .
 
hahahha eti mzee sita hana maadili... anazidiwa na kabinti kadogo ka kinyakyusa dr tulian
 
Naona aliyelipwa hapa hapa duniani zaidi ni Lowasa kwanza katoswa CCM baada ya kutumia mabilioni ya pesa na pia kutoswa na Watanzania baada ya kununua chama kwa mabilioni ya pesa na kufanya usanii wa aibu wa kutumia pesa kuweka mafuriko feki, kuwalipa watu wajifanye kuzimia kwa kukosa hewa sehemu iliyo wazi na kuwalipa wengine eti wasafishe bara bara gari yake ipite. Baada ya yote hayo wale waliolopwa pesa wakawa wa kwanza kumtosa Lowasa. Malipo ni hapa hapa duniani

ukoo wa kina meela haujawahi kuwa na mtu mjinga kama wewe inawezekana wameshikishwa
 
Kweli mkuu tunawapongeza CCM kwa Wizi Wa kura in ushindi mkubwa kura kwa Zanzibar ni batili kwa bara ni Ushindi mkubwa
 
HAHAHAAAA! Shida ya wazee ni kwamba uwezo wao wa kufikiria unapungua sana ila bila wao kujitambua.Malechela aliangushwa hivi hivi na Kibajaji bila kujijua ktk nafasi ya ubunge! Shame on u 6!
 
Back
Top Bottom