Mzee Mtambuzi safarini Selous Game Reserve....!

Mzee Mtambuzi safarini Selous Game Reserve....!

Mtambuzi unakula bata peke yako...........?!?!? si ungemchukua hata kile kidumu chako?
uuuwi King'asti usisome hapa jamani....lakini si unamjua dady yako
 
Last edited by a moderator:
Si nlikwambia achana na Mtambuzi uje kwangu ukakataa? Ona sasa tripu kama hii wala hajakukumbuka.....😛layball:

banaa weee Mtambuzi mie ni shemeji yangu......ana makaka kibao pale leo tupo hapa, afu ni babake na shosti wangu King'asti, nilikuwa namsubiri kwa ishu nyingineeeeeeee........so shut up and work Asprin
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom