Mzee Mtambuzi safarini Selous Game Reserve....!

Mzee Mtambuzi safarini Selous Game Reserve....!

.............haya banaaaaaaaa
samahani jirani, jana nilisahau kukuaga maana safari yenyewe ni ya ghafla mno, na ni ya siku moja kwa hiyo kesho tutakuwa pamoja pale LEO TUPO HAPA PUB....
 
wewe muongo,
mama ngina nimemuacha home analea, huku hawezi kuja, kuna wanyama wakali.....
niko na wadada wawli ma-trainee wa mambo ya uranium kutoka wizara ya nishati na madini... nawafundisha kazi....

Tafwazali wafundishe kazi tu na si vinginevyo.. Hatutaki uje na thread ya UPT tena hapa!!!
 
Hahahahaahahah! najua ukirudi huko umechokaaaaaaaaaaa ile mbaya na kaka Mtambuzi atakuwa ametepeta kwa kutumika sana Loh! ama kweli ingekuwa choki hiyo wengine humu wasingekuwa nazo, maana zingekuwa zimeisha.
 
Ngoja nikuletee vitendea kazi kwa piem,maana wewe.............
 
Hahahahaahahah! najua ukirudi
huko umechokaaaaaaaaaaa ile mbaya na kaka Mtambuzi atakuwa ametepeta kwa
kutumika sana Loh! ama kweli ingekuwa choki hiyo wengine humu
wasingekuwa nazo, maana zingekuwa zimeisha.
Binti mshakunaku weye....
shida yako ni kunichafua humu wanangu wapoteze imani na mimi......
 
Binti mshakunaku weye....
shida yako ni kunichafua humu wanangu wapoteze imani na mimi......
Hahahahahaah!!! Hapana kaka Mtambuzi mimi nilikuwa nakutania tu, nafuta usemi wangu.
 
safari njema, ila japo kipande cha nyama kavu ya huko isiwe punda na tembo mtakao uwa....
 
samahani jirani, jana nilisahau kukuaga maana safari yenyewe ni ya ghafla mno, na ni ya siku moja kwa hiyo kesho tutakuwa pamoja pale LEO TUPO HAPA PUB....

sitaki! umenisubirisha sana! mie ntakuwa kwa mpenzi wangu mpya Cpt. Morgan!
 
Tafwazali wafundishe kazi tu na si vinginevyo.. Hatutaki uje na thread ya UPT tena hapa!!!

Charminglady iki ni kitu gani?:A S shade:

Afu uyu Mtambuzi anaturusha roho tu, mbona mi nilikuwa getini matambwe sijamwona?
 
Last edited by a moderator:
nani kakwambia kuwa nataka kupunguza uzito...? uzito nilio nao wanitisha mie....

Ha ha ha haaaa

Kwani nani kakwambia nataka upunguze uzito?

Just kampani yankukusaidia uone wanyama vizuri.
 
Maskini huto tu trainee....hivi uranium si inachimbwa ok na huto tubinti si tuna uranium zao to be explored haaa haaaa (jocking)
 
Back
Top Bottom