duh upo??Kumbe kibabu kina madili hivi, nilikuwa nakipoitezea lakini soon nitaanza kujipendekeza, we acha tu miji hapa bila kuwa mjanja hakuna kuushika mpango mzima a.k.a churaaa
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Hapa nikitambika kwenye kaburi la Captain Selous, nimeambiwa huyu mzee alijitolea katika Jeshi la Mwingereza ili kumuangamiza Mjerumani... (Picha zaidi nitaweka baadae)
Msinitafute mtandaoni, niko huku Selous Stiglers Gorge nikifanya utafiti wa Uranium.......
CC: Paloma, King'asti, Zion Daughter, Smile, Mrembo by Nature, Lisa, Nivea, Madame B, BADILI TABIA, Asnam, gfsonwin, cacico, Mamndenyi, MadameX, madam Z, Kipipi, amu, snowhite, Asprin, Mwita Maranya, Jiwe Linaloishi, Kipaji Halisi, Fidel80, Ruttashobolwa, manoah, Eiyer, Kaizer, Vin Diesel, Remmy....
Kumbe kibabu kina madili hivi, nilikuwa nakipoitezea lakini soon nitaanza kujipendekeza, we acha tu miji hapa bila kuwa mjanja hakuna kuushika mpango mzima a.k.a churaaa
Si kuna nyati na swala huko..!?? utaporudi uniletee nyama aisee,anakusalimia mwanao King'asti, wikend hii tuna trip ya kwenda Mbudya Island.
Regards
Unichukulie uranium kidogo!
na ndio lilikuwa lengo lake!
auze sura hapaaaaaa pm yake ijae!
ila Mtambuzi una miwani mizuri
basi tu!
Nakufuata huko huko..Upo na mama Ngina ??
mambo ya kuchunuku mawani ya babangu staki. utaanza kusema ana macho mazuri mara ana kiuno kizuri! una hamu ya kugeuzwa da sophy eeeh?
umeona lakini kimini cha yule motherfada wa kidhungu pale nyuma ya babako!?naskia harufu ya damu.
mzee bazazi huyu, yaani anaenda kula maisha alone!
na ndio lilikuwa lengo lake!
auze sura hapaaaaaa pm yake ijae!
ila Mtambuzi una miwani mizuri
basi tu!
Tukifanyie mpango tuinjike maji ya moto tukichune au unaonaje?@Snowhite... si umeona kilivyolipuka na ukizingatia tena kina deal na wazungu tu so miprojekt kibao, ila tuongee taratibu asisikie akatustukia
ahaahahhahhahha maji ya moto kwa huyu mzee!
kwanza hiyo picha unafikir ni yeye!
awe handsome hivi atambe!si tusingekunywa maji humu!
kwanza alienda huko kwa kazi nyingine!mi alinitumia job description yake ,wehuoni hapo kuna wanawake wawilimwanaume mmoja!
STUKA!
JIIPULIE MWAYA!Du kumbe changa la macho, so tusikaibukie hakana la maana eehh?basi naipua maji kwani nilishaweka jikoni