Erickb52
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 18,559
- 11,496
Hahahaaaa
eti mjanja lol
Tangu lini jogoo la shamba likawika mjini?
We nenda Ikwiriri ukalime mihogo town hupawezi The secretary
Last edited by a moderator:
Hahahaaaa
Wewe King Mswati... nasubiri tumalize kesi ili nilale ujue!!!!
Kweli mtu haachi asili, ungeongezea na maparage kabisa!.ukija mujini uje na matoborwa sasa babu..
Wana mapenzi ya dhati kwangu
I hate SHIKAMOO.................
Wana mapenzi ya dhati kwangu
uliwekeza tumboni au kwenye shughuli za msingi au ndo uligeuka mzee wa totoz?
Mh.... Najuuuta....Mi sitii neno. Kwa habari zaidi tuonane asubuhi.....kimenukaaa
Ukiamka charminglady nipe skype # yako tuzoze tukionana. Nishajinywea viroba na banana nikachanganya bia eagle niko zip.
Kweli mtu haachi asili, ungeongezea na maparage kabisa!.
Yego Muramu.... Hivi matobolwa ni nini?????
njoo Tabora huku Ulyankulu upate matobolwa...
Yego Muramu.... Hivi matobolwa ni nini?????
mmmh!...
Matobolwa ni viazi vitamu vilivyokaushwa kwa kuanikwa baadae hupikwa na kuliwa...
yapi yalomkuta?...mbona hapa kuna taarifa tu ya ujio wake huku Mwanza...
Au ndio waleta mambo ya kutema mate kushoto, halafu wafukia kulia