Mzee Mtambuzi in MWANZA...!

Mzee Mtambuzi in MWANZA...!

Mtambuzi wote wanaotaka samaki waambie watume hela sio mikono mitupu, nimeshafungua akaunti ya m.pesa, airtel money na tigo pesa kwa wote wanaotaka sato sangara hata dagaa,
 
Last edited by a moderator:
Mtambuzi wote wanaotaka samaki waambie watume hela sio mikono mitupu, nimeshafungua akaunti ya m.pesa, airtel money na tigo pesa kwa wote wanaotaka sato sangara hata dagaa,

Afu una akili sana siku hizi... Ungezitumia kipindi kile hakika nisingelikuacha... Hivi kipindi cha nyuma hizi akili zilikuwa wapi????
 
Last edited by a moderator:
naomba niletee samaki sato na sangara ujue nimeondoka huko muda nimewamisi sana huku dar tunapimiwa kwa kilo wakati huko tunajisevia hata hizo kilo hatuzijui,dar maisha magumu loh Mtambuzi paki kwenye maboksi afu yatoboe vitundu wasioze ole wako usahau.
 
Last edited by a moderator:
Mtambuzi wote wanaotaka samaki waambie watume hela sio mikono mitupu, nimeshafungua akaunti ya m.pesa, airtel money na tigo pesa kwa wote wanaotaka sato sangara hata dagaa,

hizo akaunti zinawahusu wale ndugu wa mbali sie ndg wa karibu atatuletea bureeeeeee kwa kujipendekeza kwake loh
 
UP DATE:

Muda huu niko na wana JF katika ukumbi wa juu kabisa wa AMBASSADOR LOUNGE wa hala JB BELMONT HOTEL yaani kama vile tuko LEO TUPO HAPA PUB, kasoro tu huku hakuna Contensa, Govinder Kumar wla Strawberry Lips.

Mtambuzi acha fix we mzee , kama kweli uko nao hapo tupia "line up" hapa chap.
 
Last edited by a moderator:
Ndio nimetua Mwanza hivi punde....
Nimepokelewa na charminglady na @C6, watu wa Mwanza ni wakarimu sana, nipo hapa Hoteli ya JB Belmont nimejipumzisha kabla ya kuianza siku na vikao lukuki, jioni, nitakutana na wana JF wa Mwanza kwa ajili ya kubadilishana uzoefu halafu tuna Party kidogo kwa mwendo wa LEO TUPO HAPA PUB.....LOL

UP DATE:

Muda huu niko na wana JF katika ukumbi wa juu kabisa wa AMBASSADOR LOUNGE wa hala JB BELMONT HOTEL yaani kama vile tuko LEO TUPO HAPA PUB, kasoro tu huku hakuna Contensa, Govinder Kumar wla Strawberry Lips.

Lakini mambo pouwa kabisa aisee, watu wa Mwanza ni wakarimu sana maana tangu nifike ni ma-hospitality tu kama Mkuu
fulani....LOL

Copy to: Mamndenyi, Paloma, Madame B, madam Z, Mrembo by Nature, King'asti, Elizabeth Dominic, BADILI TABIA, Chauro, Smile, Kipaji Halisi, gfsonwin, cacico, MadameX, Lisa, snowhite, Nivea, ladyfurahia, Nicas Mtei, Mwita Maranya, Jeska, amu, Kaizer, KakaKiiza, Fidel80, Swts, mwaJ

ukija mujini uje na matoborwa sasa babu..
 
Me nipo hapa gold crest,niko na warembo kama watatu wa SAUT kama uko na kiu nipm nikurushie mmoja!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom